Mabere Marando mtesaji

zomba

JF-Expert Member
Nov 27, 2007
17,261
3,909
Jamani hayo si maneno yangu, tujadili:

MABERE MARANDO ndiye alikyekuwa na kazi ya kutesa watu kule kisiwani Mafia

Na pia:

mabere marando ..ana kazi nyingi anazodaiwa kufanya akiwa TIS ..MOJA WAPO PIA NI KUADAIWA KUWEMO KWENYE AMBUSH ILIYOPELEKEA KUFA KWA CAPT .TAMIN[COMMANDO-JWTZ]...NA INADAIWA KUWA YEYE NDIE ALIYE FYATUA RISASI ILIYOMUUWA TAMIM.PALE KINONDONI KILIMANI....TUWEKE SAWA HISTORIA HAPA!!!

Huyo ndio Marando wa Chadema kutokana na nyuzi za zamani za JF.

https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/7669-yasin-memba-aliyeteka-ndege.html
 
Inasemekana huko mafia ndio kulikuwa kuna jela ya kuwaficha asiowapenda nyerere.

Marando, Njoo useme ukweli wako.
 
Jamani hayo si maneno yangu, tujadili:

Na pia:

Huyo ndio Marando wa Chadema kutokana na nyuzi za zamani za JF.

https://www.jamiiforums.com/complaints-congrats-advice/7669-yasin-memba-aliyeteka-ndege.html

na pinda alishiliki kwenye nini?
na kikwete alipokuwa jeshini je?
nani alimuua kolimba?
nani alimuua komba?
nani alimuua sokoine?
na jumbe anafanya nini pale kigamboni?
na yule alimuua kaurume ana anafanya nini msumbiji? au bado inaposhoshwa
na wakina kambona je?
hata Nyerere hivi ilikuwa NATURAL death? maana alikua mwiba kwa mkuu wa kaya

usilete hapa mambo ya usalama wa taifa kwa kisingizio cha kumchafua mtu, usalama wa taifa ni sehemu ya serikali ya
ccm, kwa hiyo unataka kusema ccm ni wauaji? kama sio waua huyo uliyemtaja anafanya nini uraiani? ukishutumu aliyekuwa mtumishi wa umma bila kuanza na CCM kamwe haiwezi kuwa sahihi

mnapo kuja na hoja za kuwachafua watu kwa kupitia utumishi wao wa nyuma serikalini muwe mnakumbuka ili
NO MATTER WHAT HAPPENED THERE AND THEN , DHAMANA TULIWAPA CCM, ndio maana tumechoshwa na hawa wadhalimu tunataka serikali yenye meno na utawala wa sheria
kama ingekuwepo wewe husingi andika haya mauchafu, maana kama yangekuwepo kwa sasa angekuwa jela.

anyway nani alinufaika na hayo mateso na vifo yaliyofanywa na chongo cha dola? habari yako ni nusu
 
na pinda alishiliki kwenye nini?
na kikwete alipokuwa jeshini je?
nani alimuua kolimba?
nani alimuua komba?
nani alimuua sokoine?
na jumbe anafanya nini pale kigamboni?
na alimuua kaurume ana anafanya nini msumbiji?
na wakina kambona je?
hata Nyerere hivi ilikuwa NATURAL death

usilete hapa mambo ya usalama wa taifa kwa kisingizio cha kumchafua mtu, usalama wa taifa ni sehemu ya serikali ya
ccm, kwa hiyo unataka kusema ccm ni wauaji? kama sio waua huyo uliyemtaja anafanya nini uraiani?

mnapo kuja na hoja za kuwachafua watu kwa kupitia utumishi wao wa nyuma serikalini muwe mnakumbuka ili
NO MATTER WHAT HAPPENED, ndio maana tumechoshwa na hawa wadhalimu tunataka serikali yenye meno na utawala wa sheria
kama ingekuwepo wewe hisingi andika haya maana kama yangekuwepo kwa sasa angekuwa jela.

anyway nani alinufaika na hayo mateso na vifo habari yako ni nusu

Soma post yangu vizuri usikurupuke. Ya nyerere inajulikana haikuwa natural, muulize Mtikila alishasema kilicho muuwa Nyerere na alim quote Mkapa. Hayo mengine tueleze wewe kama walivyoeleza hao walioweka hizo post. Kumbuka mimi nimezi quote tu.
 
Tukianza kuchimbua historia za watu na mambo yaliyofanywa huko nyuma hatutafika popote..suala hili halina tofauti sana na uraia na maisha binafsi ya watu...maana kuna mambo mengi ya kujiuliza kuhusu watu na kutafuta majibu yake?...kuna watu wengi tu sserikalini na wana nafasi zao na hata kwenye vyama vya saisa (sio mbubge wa Nzega pekee) wana majina ambayo sio ya kwao...yawezekana hata baba zetu majina wanayotumia sio ya kwao.
 
Mkuu wewe ni mchokonozi!!! Lakini ni vizuri manake kuna watu wanaweza kuwa wanamponda mtu akiwa upande mmoja aki cross border tu basi anakuwa mwema!! Naipenda historia kwa kuwa inatukumbusha mengi!!

Kimbunga, kuna watu humu JF hujifanya wao ni kama miungu mtu kwa kujidai wanaijuwa historia ya hii nchi. Lakini ukweli huwa wa mistari miwili mitatu tu/ Sasa tukileta ukweli humu huwa hawapendi kabisa. Na sasa ni wakati muafaka wa kuanza kuwapa darsa. Tutatumia ya humuhumu JF ikiwezekana.
 
hiyo ya kumuua tamim aliwahi kuikanusha ila ni kweli alikua kwenye crew iliyomuua Tamim

Ahaa haa utoto unawasumbuwa sana; kuuwawa kwa Tamim kulifanikishwa na Marehemu Shekh Yahya, na hata kukamatwa kwa watu wote waliokuwa katika sakata hilo, by the way Marando ni Komandoo mpaka awe na uwezo wa kumwa-attack Komandoo?!
 
Kimbunga, kuna watu humu JF hujifanya wao ni kama miungu mtu kwa kujidai wanaijuwa historia ya hii nchi. Lakini ukweli huwa wa mistari miwili mitatu tu/ Sasa tukileta ukweli humu huwa hawapendi kabisa. Na sasa ni wakati muafaka wa kuanza kuwapa darsa. Tutatumia ya humuhumu JF ikiwezekana.

lakini sio kwa manufaa ya chama furani kama unavyolenga,
kama unarusha mishale kwa madui kwa nini inapiga watu wa jeshi la ukombozi?
wewe ni mamluki hufai kuelimisha utalisha wanafunzi sumu , unanikumbusha yale ya walimu wangu sisi tumetokana na manyani,
kama suhala ni mauji ya serikali come clean, sio kutumbukiza watu furani.
kwani usalama wa taifa ni kampuni binafsi ya ulinzi inayomilikiwa na marando come on dude
 
Soma post yangu vizuri usikurupuke. Ya nyerere inajulikana haikuwa natural, muulize Mtikila alishasema kilicho muuwa Nyerere na alim quote Mkapa. Hayo mengine tueleze wewe kama walivyoeleza hao walioweka hizo post. Kumbuka mimi nimezi quote tu.

Una quote upuuzi huoni kuwa nawe unakuwa mpuuzi maana hizo quote ulizotoa haziwezi kuwa ushahidi wowote na hazina hoja yoyote ya maana ndani yake.
 
Chochote alichofanya Mabere Marando kama mwajiriwa Usalama Wa Taifa ilikuwa part of his Job Description, na kwa maana hiyo basi mkubwa huyu anastahili kusifiwa kwa kuwatesa hao waliokuwa wana commit treason au uhaini huko Mafia. Kwa hiyo hivyo ni sawa na ofisa wa benki alivyokuwa anatoa mkopo Wa benki kwa applicant au ofisa wa Bima anavyotoa policy document.

Big up Mabere Nyaucho Marando
 
Umeanza na neno inasemekana .Sasa sisi kweli tujadili nini ? Unataka aondoke Chadema au unataka nini liwe hitimisho ?Saulo aliua sana lakini aliongoka akaitwa Paulo akawa mwema .Now yuko na sura mpya means kaongoka kama usemayo ni kweli maana ni tetesi hizo .

Anatakiwa atutajie ambao bado wako huko CCM wanaouwa watu mpaka sasa, siyo kututajia mtu ambaye sisi tunamuona ni msafi kwa macho yetu na tunamuamini eti kwa kutumia historia ya kubuni, au anataka kwambia kuwa tokea Marando ameama CCM hawajawai kuuwa au kutesa watu?

Apereke huo utoto wake mbeya leo watangaze hivyo. Marando ndio aliuwa watu Arusha na Nyamongo?
 
lakini sio kwa manufaa ya chama furani kama unavyolenga,
kama unarusha mishale kwa madui kwa nini inapiga watu wa jeshi la ukombozi?
wewe ni mamluki hufai kuelimisha utalisha wanafunzi sumu , unanikumbusha yale ya walimu wangu sisi tumetokana na manyani,
kama suhala ni mauji ya serikali come clean, sio kutumbukiza watu furani.
kwani usalama wa taifa ni kampuni binafsi ya ulinzi inayomilikiwa na marando come on dude

Hiyo ndio point "once a system always a system". Sasa nambie Marando hivyo vyama anavyo hamahama anapelekwa na nani na kwa kazi gani? hapo ndio utajuwa siasa ni mchezo mchafu na hakuna upinzani wa kweli.
 
Hivi wale waliokuwa wakimtumikia Hitler na utawala wake wa kinazi mpaka hivi karibuni wamepelekwa mahakamani, unadhani ni kwa sababu gani?

Kuna kutesa na kutesa, wengine huwa wanazidisha na inapita mipaka ya ustahmilivu wa kibinaadamu - yaani kimaumbile wao ni ma sadist ambao wamepata kazi inayowafaaa. Umewahi kusikia ya Mandera na Bamkwe kule Zanzibar?
 
"Forget abt the past, live for the present, hope for the future." che guevara
 
Hiyo ndio point "once a system always a system". Sasa nambie Marando hivyo vyama anavyo hamahama anapelekwa na nani na kwa kazi gani? hapo ndio utajuwa siasa ni mchezo mchafu na hakuna upinzani wa kweli.
hahahahaha
mbunge wa mbeya naye kakufanya nini?

tunaomba mafaili ya elimu ya NYARANDU basi ?
maana hawa ndio mafisadi wa taifa weka hapa elimu ya NYARANDU
hicho kitakuwa kipimo cha uzalendo mengine hayo unazuga kama hakuna upinzania
wa kweli iweje kikwete analiwa na maandamano ya chadema na CCM kwa ujumla naona wameanza kuandama sasa

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom