Mabere Marando mtesaji

Mabere Marando mtesaji

hahahahaha
mbunge wa mbeya naye kakufanya nini?

tunaomba mafaili ya elimu ya NYARANDU basi ?
maana hawa ndio mafisadi wa taifa weka hapa elimu ya NYARANDU
hicho kitakuwa kipimo cha uzalendo mengine hayo unazuga kama hakuna upinzania
wa kweli iweje kikwete analiwa na maandamano ya chadema na CCM kwa ujumla naona wameanza kuandama sasa

Naomba rejea post zangu za mwanzo kwenye nyuzi zote mbili halafu uone nani alioanzisha hayo mambo halafu umuulize yeye haya maswali yako, ukiniuliza mimi unanionea, mjumbe hauwawi.
 
Duh wadau mambo ya nyuma tuyaache maana yakiibuliwa tutaumbuka wengi, wengine tulikua wezi wa maembe, watoro mashuleni, wavuta ndumu, vilaza madarasani, vikojozi, na kadha wa kadha tumekua tumechakachua maisha tunaheshimika sasa. Kurudisha yaliyopita sijui atasalimika nani, na huyo bwana mkubwa it was not personal ilikua kazi, kumbe tutaanza kulaumiana ohh jaji fulani alimuhukumu jaama kifungo au kifo.. ebu tuwe na weledi wakuu
 
sio tu kukumbuka mengi, bali yakishughulikiwa vizuri, serikali na CCM hakuna hatakayebaki yote itafunga jela kuanzania huyo mkazi wa IKULU ndugu jay k
kwa mikataba na wizi serikalini thubutu kuna vitu kibao serikali vimelipiwa lakini havijawahi hata kuonekana wala kuitajika na pesa imeliwa
 
Kuna kosa gani kwa mtu kutekeleza wajibu aliopewa na mwajiri wake? Kama Tamim ambaye alikuwa mhaini alikuwa anatakiwa kudhibitiwa ulitaka Marando afanye nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom