little master
JF-Expert Member
- Jul 16, 2018
- 2,418
- 4,761
No katika ile issue naweza kidogo kukurekebisha mkataba wa ununuzi wa zile locomotives ulikuwa kwa awamu kutoka katika kampuni ya Electromotive Diesel iliyo La grange Illinois marekani 2014 mwishoni kabisa zilianza kuingia locomotives aina ya GT38LC-3 zikiwa 13 wakazipa identification number kama 9001 hadi 9013...Magufuli naye alikuwa mpigaji tu.
..unakumbuka story zake za kwenda bandarini na kuokota vichwa vya treni?
..Watanganyika tulijua ule ni uongo, lakini tulijilazimisha kuwa ni ukweli.
No katika ile issue naweza kidogo kukurekebisha mkataba wa ununuzi wa zile locomotives ulikuwa kwa awamu kutoka katika kampuni ya Electromotive Diesel iliyo La grange Illinois marekani 2014 mwishoni kabisa zilianza kuingia locomotives aina ya GT38LC-3 zikiwa 13 wakazipa identification number kama 9001 hadi 9013.
Sasa badae hiyo kampuni ya Electromotive Diesel yani EMD iliuzwa akainunua Caterpillar akaipa jina la Progress Rail muda huo kulikuwa na mkataba unaendelea wa ku manufactur locomotives nyingine 11. Mambo hayakueleweka wanajua wao managerial level ndo kukutwa locomotives 11 bandarini. Zikaja nunuliwa ila kwa bei ya punguzo kidogo wakazipa identification number 9014-9024 na zipo hadi leo. Kwahiyo hakuna uthibitisho wa ubadhilifu pale ishu ilikaa vibaya katika mambo ya mikataba.
Magufuli anahuskaje sasa hapo ikiwa yeye mwenyewe aliokota kichwa cha treni bandarini ...R.I.P Magufuli
Mkuu hayo mengineyo tu..[emoji16][emoji16]..sasa kulikuwa na haja gani kusema UONGO?
..Mtu anayesema uongo hata kwenye mambo yasiyohitaji uongo ni mtu wa hovyo na hatari.
Mkuu hayo mengineyo tu..[emoji16][emoji16]
Me sikua shabiki wa uongoz wa Magu lakini na uhakika kwny hili swala angeondoka na vichwa vya watu,kuna upuuz mwingne alikua anaudeal vizur sio km mama ambae yupo yupo usikute hata madeni anayokopa Mwigulu Rais Samia anakutana nayo mitandaoni km sisi tu
Tusilaumiane kwasababu mkuu Joka kuu sisi ndo bado tunayataka hayo mambo hii nchi tunaumia wengi ila inafika wakati tunakaa kimya...haya mambo tunayaona madogo, lakini huzaa makubwa.
Sasa kwanini vilitelekezwa portNo katika ile issue naweza kidogo kukurekebisha mkataba wa ununuzi wa zile locomotives ulikuwa kwa awamu kutoka katika kampuni ya Electromotive Diesel iliyo La grange Illinois marekani 2014 mwishoni kabisa zilianza kuingia locomotives aina ya GT38LC-3 zikiwa 13 wakazipa identification number kama 9001 hadi 9013.
Sasa badae hiyo kampuni ya Electromotive Diesel yani EMD iliuzwa akainunua Caterpillar akaipa jina la Progress Rail muda huo kulikuwa na mkataba unaendelea wa ku manufactur locomotives nyingine 11. Mambo hayakueleweka wanajua wao managerial level ndo kukutwa locomotives 11 bandarini. Zikaja nunuliwa ila kwa bei ya punguzo kidogo wakazipa identification number 9014-9024 na zipo hadi leo. Kwahiyo hakuna uthibitisho wa ubadhilifu pale ishu ilikaa vibaya katika mambo ya mikataba.
Ze-dudu managerial level wao ndiyo wanajua ukweli halisi.Sasa kwanini vilitelekezwa port
Unapotosha kwa lengo gani?Kikweli kwa macho mabehewa yote ni used!, ila tumeambiwa ni mapya!, na vichwa ndio wakaogopa kabisa kutuonyesha!.
P
Hata mimi nimejiuliza hivyoKuna kitu hapa natamani nikifahamu yawezekana uelewa wangu mdogo.
Wakati naelekea zangu Kariakoo maeneo ya Puma niliona mabehewa yale niliyaona kwenye TV na mitandao ya kijamii yakiwa juu ya reli MGR (Reli ya Kigoma-Mwanza)Kama ni kweli yale ndio ya kisasa imekaaje yamefit kwenye hio reli?
Ikumbukwe reli ya SGR ni pana kuliko reli ya zamani au hizo ekseli zake zinatanuka kupungua!
Ila naona kuna mchezo tunachezewa na hawa viongozi wetu.
Unafahamu kwamba vichwa na mabehewa yanayotumika sasa kwenye mgr wakitaka yatumike kwenye sgr inawezekana? Watakachofanya ni adjustment tu. Hilo limekuwa likifanyika miaka mingi, mfano miaka miwili iliyopita trc walikuwa wanafanya ukarabati mkubwa wa mgr, kazi ile walipewa wachina, mabehewa yaliyotumika kubebea kokoto yalitoka Tazara ambayo ina upana tofauti na reli ya kati, kilifanyika nini kuwezesha yatembee kwenye mgr ya trc? Jibu ni adjustmentsAxle ipo rigid ile adjustment unafanyaje? Wakubali wamechemsha tu specifications anapewa manufacturer kabla hajaanza kuunda kitu wawadanganye wengine.
Mpango toka awali (Mwakyembe akiwa waziri wa uchukuzi) ulikuwa kununua locomotive 24 za series uliyotaja, na mpango ilikuwa zije kwa awamu mbili, awamu ya kwanza zingekuja 13 kisha zingefatia 11, 13 za kwanza zilikuja mapema 2015 wakati wa awamu ya mzee wa Msoga, batch ya pili ya vichwa 11 ikaja 2016, hii ndiyo ilisemekana kuokotwa bandarini, sijui ni sarakasi gani ilipelekea kuwa hivyoNo katika ile issue naweza kidogo kukurekebisha mkataba wa ununuzi wa zile locomotives ulikuwa kwa awamu kutoka katika kampuni ya Electromotive Diesel iliyo La grange Illinois marekani 2014 mwishoni kabisa zilianza kuingia locomotives aina ya GT38LC-3 zikiwa 13 wakazipa identification number kama 9001 hadi 9013.
Sasa badae hiyo kampuni ya Electromotive Diesel yani EMD iliuzwa akainunua Caterpillar akaipa jina la Progress Rail muda huo kulikuwa na mkataba unaendelea wa ku manufactur locomotives nyingine 11. Mambo hayakueleweka wanajua wao managerial level ndo kukutwa locomotives 11 bandarini. Zikaja nunuliwa ila kwa bei ya punguzo kidogo wakazipa identification number 9014-9024 na zipo hadi leo. Kwahiyo hakuna uthibitisho wa ubadhilifu pale ishu ilikaa vibaya katika mambo ya mikataba.
Tumsifu Yesu KristoKuna kitu hapa natamani nikifahamu yawezekana uelewa wangu mdogo.
Wakati naelekea zangu Kariakoo maeneo ya Puma niliona mabehewa yale niliyaona kwenye TV na mitandao ya kijamii yakiwa juu ya reli MGR (Reli ya Kigoma-Mwanza)Kama ni kweli yale ndio ya kisasa imekaaje yamefit kwenye hio reli?
Ikumbukwe reli ya SGR ni pana kuliko reli ya zamani au hizo ekseli zake zinatanuka kupungua!
Ila naona kuna mchezo tunachezewa na hawa viongozi wetu.
Hiyo ndiye muagizana na mtia saini wa mabehewa haya yaliyo anza kuingia nchini.R.I.P Magufuli
Ndio tunaanza kuwajua waliohusika[emoji3]Hiyo ndiye muagizana na mtia saini wa mabehewa haya yaliyo anza kuingia nchini.
Upo sahihi kabisa...Mpango toka awali (Mwakyembe akiwa waziri wa uchukuzi) ulikuwa kununua locomotive 24 za series uliyotaja, na mpango ilikuwa zije kwa awamu mbili, awamu ya kwanza zingekuja 13 kisha zingefatia 11, 13 za kwanza zilikuja mapema 2015 wakati wa awamu ya mzee wa Msoga, batch ya pili ya vichwa 11 ikaja 2016, hii ndiyo ilisemekana kuokotwa bandarini, sijui ni sarakasi gani ilipelekea kuwa hivyo