Mkuu umesahau kuswitch kwenye ID nyingine,umejijibu kwa ID hiyo hiyo,hahahahahahaaaaaa!Nakuunga mkono comrade
Pompeo analazimisha watu wafanye ufirauni wasipofanya ati anakataza watu wasiende marikani
Wazungu wameanza kushiwa maarifa
Nashindwa kuelewa,iweje mtu ahangaike vyote hivyo!Yaani anawahi kujijibu sijui ili iweje?Nafsini kwake anawazaje?Yaani ni kama kujiibia pesa yako mwenyewe!!Ha ha ha ha ha.. Nahisi kuna mtu hajalipwa vizuri Lumumba leo.. Uzi wa pili huu naona tatizo ya the same id kujijibu..
Hakuna nchi yeyeto duniani inayowejitegema yenyewe.Ili uendelee ni lazima uliwe kila nchi duniani inaliwa na nchi zingine ndio maendeleo, wageni wangapi wamewekeza USA na ulaya wanaichuma wanapeleka kwao mfano Asia, Africa,China vivo hivo nao wanaliwa na USA na ulaya ndio maendeleo.Wao pia wanategemea madini yetu
Nadhani utaelewa kwa kina comrade
hata mheshiwa jk alishakwambia "ukitaka kula lazima uliwe"Hakuna nchi yeyeto duniani inayowejitegema yenyewe.Ili uendelee ni lazima uliwe kila nchi duniani inaliwa na nchi zingine ndio maendeleo, wageni wangapi wamewekeza USA na ulaya wanaichuma wanapeleka kwao mfano Asia, Africa,China vivo hivo nao wanaliwa na USA na ulaya ndio maendeleo.
Unaanzisha thread halafu unajiunga mkono?Nakuunga mkono comrade
Pompeo analazimisha watu wafanye ufirauni wasipofanya ati anakataza watu wasiende marikani
Wazungu wameanza kushiwa maarifa
Linganisha pesa ambayo jiwe angeingiza USA kama angesafiri na pesa wanayotoa USA kwenye arv na mcc halafu rudi uandike tena
Sent using Jamii Forums mobile app
"Bora kufa umesimama kuliko kuishi umepiga magot"Subiri siku biological weapon ikitua bongo mtahamia wenyewe Dodoma kumkimbia muamerika
inawezekana nchi za afrika kujitegemea lakini kuna process ngiumu na hatari sana inayohitaji confidence inabidi tuipitie,
dr magu anauthubutu, ni mfano wa kuigwa,
Linganisha vifuatavo utapata jibu GDP yao na yetu,linganisha export,bajeti yao,awareness,
Pompeo afunguliwe tuhuma za uhujumu uchumi
Wameanza kukuheshimu we na nani,acha ujackass
We Pimbi, Safari hii Jiwe wako ananyooshwa na mabeberu, mpaka atakubali mziki.