Mabebeo ya watoto ya mtumba

waukweli100

Senior Member
Aug 18, 2014
193
24
Kwa mwenye kuhitaji mabebeo ya watoto ya mtumba anicheck kwa number 0712288700 bei ni sh 35000 tu
 
Mweeh! mtumba tena kwa bei hiyo? kwani lile duka mama tiffah anaendaga wanauzaje?
 
Halafu hayo mababeo special wanabebea watotokwa mbele, ndio sababu vidada vya siku hizi vitako flat kabisa vikitembea kama vinasukumwa. Beba mtoto mgongoni urekebishe Kiuno na tako viwe vya kike kwel!i
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom