Mabaunsa wamepewa onyo kali kutojihusisha na mapenzi yasiyofaa kwa kuendekeza njaa. Wameaswa kulinda kazi yao ya Ulinzi badala ya mapenzi ya kudhalilisha Utu na kazi yao.
Daah ila kuna watu wana roho ngumu, unaanzaje kumtongoza mwanaume baunsa hadi anakubali kukuinamia umpige mzigo..kingine tena mtu mashine yake inasamama akiona mtu baunsa mwenye six pack kamuinamia 🙆🏾♂️🙆🏾♂️ cocasticBICHWA KOMWE -DIVISHENI FOO
Nilikua napiga gym unagusa kimtindo sio kua baunsa kiufi mimi huwa baruka kamba nakimbi kilometa moja na gym kidogo sana kila weekend tu nikitoka kanisa jioni gym basi kwa mwezi mara tatu safi Ubaunsa ni ujinga