ndetia
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 615
- 669
sawa ni pmniunganishe na hivo viwanda basi jamani naomba
sawa ni pmniunganishe na hivo viwanda basi jamani naomba
Nenda tegeta, ukitokea mwenge uvuke Kibo complex, mkono wako wa kushoto utaona Kiwanda kimeandikwa ANDO TILES, wana bati nzuri na bei poa
shukrani sanaNenda tegeta, ukitokea mwenge uvuke Kibo complex, mkono wako wa kushoto utaona Kiwanda kimeandikwa ANDO TILES, wana bati nzuri na bei poa
Nenda tegeta, ukitokea mwenge uvuke Kibo complex, mkono wako wa kushoto utaona Kiwanda kimeandikwa ANDO TILES, wana bati nzuri na bei poa
Mkuu wanazo grade mbili mkuuile bati / kigao cha ANDO kinapata ukungu baada ya muda mfupi.
okay,grade imara na ya ukungu?Mkuu wanazo grade mbili mkuu
NABAKI AFRICA ,pia anauza vigae vya Decra ni vizuri kwa kuezekea hilo ghala lako mleta mada.okay,grade imara na ya ukungu?
Hapo kwa ukungu labda vumbi la wazo hill, mimi nimeezekea kitambo na ziko poa.okay,grade imara na ya ukungu?