Mabati yanaitajika haraka

Mabati yanaitajika haraka

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2015
Posts
28,029
Reaction score
52,506
Yanahitajika mabati mengi sana kupaua godown kubwa sana. Weka quatation hapa na ubora wa bati tuwasiliane fasta
 
mpendwa hapo ungewatafuta wanao deal na mabati kabisa kwa kuwatembelea kiwandani kwao......utapata quotations na bei poa na utapata aina zote za mabati na ubora wake na utachagua mwenyewe.
 
mpendwa hapo ungewatafuta wanao deal na mabati kabisa kwa kuwatembelea kiwandani kwao......utapata quotations na bei poa na utapata aina zote za mabati na ubora wake na utachagua mwenyewe.
sijui viwanda vilipo zaidi ya alaf
 
Yanahitajika mabati mengi sana kupaua godown kubwa sana. Weka quatation hapa na ubora wa bati tuwasiliane fasta
Mambo muhimu unayotakiwa kuweka wazi;
1) ukubwa wa jengo
2)aina ya bati uitakayo
3)gauge/ geji uitakayo
 
Yanahitajika mabati mengi sana kupaua godown kubwa sana. Weka quatation hapa na ubora wa bati tuwasiliane fasta
ninayo ya kampuni tano za hapa Tanzania, ALAF, DRAGON, SUNSHARE,AFRINA NA TIFFO, Zote zinabei tofauti
 
bei zao zipo juu sana mkuu
mara tatu ya wenzao sokoni
Izo chumvi sasa wakati nanunua wao walikuwa juu kwa 1000 bati zao wanatumia tech ya aluzinc sijui ambayo angalau kutu inadunda.
Pia bati zao ni pana zaidi
Na kama za rangi kupauka huchukua mda pia ila kumbuka wa kale walisemaga 'cheap things are expensive' akili kumkichwa ndugu yangu.Nyumba sio simu kuwa kila mwaka utanunua.
Fanya utafiti ili ununue kilicho bora maana hela yenyewe ya shida hii
 
Back
Top Bottom