M Mabala21 Senior Member Jul 24, 2021 125 85 Sep 22, 2021 #1 Wadau naitaji haraka mabati ambayo ni used(yalio kwenye hali nzuri) au rejected kwa bei nzuri, kwajiri ya kujengea mabanda ya mifugo. Naomba offer DM! NB: Niko Dar es salaam.
Wadau naitaji haraka mabati ambayo ni used(yalio kwenye hali nzuri) au rejected kwa bei nzuri, kwajiri ya kujengea mabanda ya mifugo. Naomba offer DM! NB: Niko Dar es salaam.
Uzalendo Installer JF-Expert Member Nov 8, 2014 5,379 8,850 Sep 22, 2021 #2 Yapo pale alaf nje..nenda kaangalie mwenyewe