Mabasi yenye kiyoyozi ni hatari!

Mabasi yenye kiyoyozi ni hatari!

sinajinasasa

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
2,989
Reaction score
4,163
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!

Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!

Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.

AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta.

Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua.

Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.

Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
 
Kinachoitwa maendeleo leo, basi ujue ni maondoleo!!!
Usafiri wa mabasi ya siku hizi yananikera sana!
Mabasi mengi hasa haya ya kichina namaanisha Yutong...yamefungwa Air conditioner, watu wengi hawajui ufanyaji kazi wa hizi AC.
AC kazi yake sio kuingiza hewa mpya ndani ya chumba ama ndani ya gari bali kuipoza hewa hiyo hiyo unayoivuta. Wenye mabasi hunikera wanaposema "abiria fungeni madirisha tumewasha AC" yaani maana yake tuendelee kuvuta hewa ya Carbon dioxide ambayo tumeishaipumua. Hivyo safari nzima mnavuta hewa ile ile, hii ndo sababu ya watu kujisikia hovyo wakati wa safari.
Hata design yenyewe ya mabasi hayana ventilation ukiwa umefunga madirisha.

Hivi hawa TBS hawaoni ubora wa haya mabasi kweli!
Asee! hii ndiyo taabu ya shule za kata,ila nimekusamehe tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom