Yatakuwa na Fan sio AC,
Yatakuwa na TBC sio TV,
Yatakuwa RTD siyo Radio,
Yatapabwa na benddera ya CCM siyo ya Taifa,
Yatauwa startimes na sio King'amuzi!
Yenyewe ni mkubwa zaidi ya hili. Hili ni basi dogo la kukusanya abiria na kuwaleta standi. Wapande basi kubwa. Juzi lilikua likizunguka wakitest kama barabara itapitika.
Hawa jamaa wangeleta package ya mega ride wangetusaidia sana. Unakata ticket ya miezi 6 ama mwaka mzima you keep riding.
Kila la kheri. Maintainance ya project ndo wasiwasi wangu.
Tatizo ni hii nyomi ya bongo yatawezeza kuzidisha mzigo zaidi ya mara 5? Maana tumeishashuhudia kama hayo yakibuma baada ya muda mfupi sana. Yalikuepo ya mbagala na segerea sasahivi wamepaki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.