Mabasi ya Kenya, huu ni urembo au ni Ushamba?!

Mabasi ya Kenya, huu ni urembo au ni Ushamba?!

Kuna daladala moja ilikuwa na mziki mnene plus kuchorwa chorwa nguvu Mali bombo raskazone unakumbuka??
That was my fav...

Ingawa walikuwa wanapiga taarabs mostly
Nguvumali ,Bombo ,Raskazone so Tanga hiyo?!
Halafu hiyo ruti ya Nguvumali Raskazone sikumbuki kama ipo japo nimeondoka Tanga miaka 11 iliyopita.
Ninavyokumbuka ni kwamba mtu wa Nguvumali kama anaenda Bombo au Raskazone inabidi apande magali ya Donge au mikanjuni nk ,akifika Ngamiani anashuka ndio apande magari ya Raskazone.
 
Sawa mkuu

Hata Sisi tumeondoka huko, many years back before 2011

Zile daladala zilikuwa zinaanza ruti mjini kisha zinapita raska zone sijui kisha zinarudi nguvumali huku...tena zilikuwa zinapita wapi sijui zinageuza kule ilipo macechu sec hivi ..

I stand to be corrected
 
Kwani wewe ni mtoto wa kike ( mwenye roho nyepesi) mpaka uweze kuota ndoto mbaya kupitia michoro tu hiyo ambayo hata ukipanda hilo basi siyo kwamba itakuwa ndani bali ni nje. 😎
 
Back
Top Bottom