EricMan
JF-Expert Member
- Oct 5, 2017
- 1,725
- 2,924
Ni huzuni kwakwelHappy nation kapigwa chini kama kawaidaaa hio kauli imenichekesha ina maana happy nation wa mwisho daily
Ni huzuni kwakwelHappy nation kapigwa chini kama kawaidaaa hio kauli imenichekesha ina maana happy nation wa mwisho daily
We shida yako unafikiri walioko stand wote ni mbwiga kama wewe,Inawezekana pia ila umasikini wenu uko pale pale huyo unaemsifia ameajiri watu wangapi kwa ng'ombe hizo
Halafu ulivyo na akili ya panzi unamsifia mtu ana ng'ombe 32 poor you
Mimi siwezi kukuambia nina nini lakini kwa akili yako hiyo nakuzidi sana
Zilikua zinatoka sa kumi namoja dar ndo maan zikawa zinafika sa mbili kamili hivi mpaka mbili na nusu na muda huo trafic wamelalaKwa sheria zetu hawez tembea kwa huo muda... yaani 12.00 dar msamvu ni saa 3.30 ama 4
Tatizo na wewe unawaza wote wako tzWe shida yako unafikiri walioko stand wote ni mbwiga kama wewe,
Ndomana zikitokea +vifo hakuna kusikitikaIla ukichungiza asilimia 98 ya abiria wanapenda mwendo mchibuyu fulu mambio ndio man hujasikia raia wamelalamika
Kaka we umesema wacha yafe we umeona gari imeanguka hapo? Si zimeingia stand na kusepa hizo ni fantasy zao, unafikiri hawana akili kiivyo hadi useme wacha yafe, wanafurahia kuona gari ya kwanza kuingia yawezekana gari zinaenda kwa mwendo sahihi lkn lazima iwepo ya kwanza,Tatizo na wewe unawaza wote wako tz
Tupige ramli tu kwa kuwaza huyo ana maisha yapi
Mimi ninachopinga hao wanaofurahia na wewe ukiona ni sawa.
Unaweza kuendeleza matusi ila mwisho wa siku utaacha kwani hatujuani na tunajadili tu ila mimi sikupi maneno mabovu ila ukweli
Uwe na amani sana
Hizo zinazoenda mwendo wa kobe ndo mbaya sasa usijidanganye eti ni salama coz unakuta service yake yenyewe sio ya uhakika, dereva posho analipwa kidogo amejaa stress, mnakaa masaa mengi barabarani mwisho dereva anachoka maana siku nzima yuko roadTutajieni zinazoenda mwendo wa kobe mimi hizo za ligi hapana kwakweli
Happy Nation mwendo wa kobe?!!! Mkuu ushawahi iona hata happy Nation kweli? Hii Happy Nation ni onatembea balaa tena hii wiki nzima alikuwa anawwpita Ally's na Katarama gepu kubwa tuu sijui kaponajeabood nyehunge isamilo. happy nation
Moro anapita kumi na mbili na nusu asubuhi Dodoma anapita saa nne asubuhi akifika singida anazuga kidogoo anaamsha Tena sibishi Kwa kua nazijua hizo gari Toka EnziJuzi ahamisi Ally's hio ya Saa tisa ilifika Bariadi Mjini Saa 2 kasoro, hii ningeambiwa na mtu ningebisha nimeshuhudia mwenyewe.
Hata wewe una haki ya kubisha maana sio kitu cha kawaida.
Kwa inshu ile nikajisemea huyu hamalizi week.
Kuanzia kesho watatoka naye muda mmoja hadi SingidaIla wote hao hawaingii ndani ya Chuma linaloitwa Asante rabbi linalopiga route ya Mwanza-Arusha. Chuma inatembea kama ndege ya ardhini kila siku ndio inafungua geti pale singida kwa gari zinazotoka mwanza.
Ila ukichungiza asilimia 98 ya abiria wanapenda mwendo mchibuyu fulu mambio ndio man hujasikia raia wamelalamika
Watu wana assume fomula one hizo.....Hiv inakuaje watu wanabet na uhai wa mtu
Lkn kuna angalau kidogo..Hivi dereva anayempokea mwenzake anakuwa ametoka mwanzo wa safari au anaanzia anapopokelea bus?
Nauliza hivi kwa sababu hata ukiwa umekaa tu kutoka mwanzo wa safari, kuchoka ni kuchoka tu.
Imefungiwa nayo kutoka saa 9 usiku?Kuanzia kesho watatoka naye muda mmoja hadi Singida
Sasa hapo Pana shida Gani Sasa!? Dunia inakwenda Haraka watu hawezi kulala barabarani, Moro Dar km 193, wastani WA km 80 Kwa saa ni Sawa na masaa 193/80 = 2.4 Sasa hapo mshangao WA nini!?iyo katarana inagonga masaa mawili nanusu dar mpk pal moro msamvu asee
Hivi haya mauzauza ni hapa tanzania tu au sehemu nyingine .Watu wanabeti mbio za mabasi wanasahau kuna roho za watu mule