Mabasi ya Allys Star na Katarama Express yapigwa 'Stop' kusafiri usiku

Inawezekana pia ila umasikini wenu uko pale pale huyo unaemsifia ameajiri watu wangapi kwa ng'ombe hizo

Halafu ulivyo na akili ya panzi unamsifia mtu ana ng'ombe 32 poor you
Mimi siwezi kukuambia nina nini lakini kwa akili yako hiyo nakuzidi sana
We shida yako unafikiri walioko stand wote ni mbwiga kama wewe,
 
Kwa sheria zetu hawez tembea kwa huo muda... yaani 12.00 dar msamvu ni saa 3.30 ama 4
Zilikua zinatoka sa kumi namoja dar ndo maan zikawa zinafika sa mbili kamili hivi mpaka mbili na nusu na muda huo trafic wamelala
 
We shida yako unafikiri walioko stand wote ni mbwiga kama wewe,
Tatizo na wewe unawaza wote wako tz
Tupige ramli tu kwa kuwaza huyo ana maisha yapi

Mimi ninachopinga hao wanaofurahia na wewe ukiona ni sawa.

Unaweza kuendeleza matusi ila mwisho wa siku utaacha kwani hatujuani na tunajadili tu ila mimi sikupi maneno mabovu ila ukweli

Uwe na amani sana
 
Tatizo na wewe unawaza wote wako tz
Tupige ramli tu kwa kuwaza huyo ana maisha yapi

Mimi ninachopinga hao wanaofurahia na wewe ukiona ni sawa.

Unaweza kuendeleza matusi ila mwisho wa siku utaacha kwani hatujuani na tunajadili tu ila mimi sikupi maneno mabovu ila ukweli

Uwe na amani sana
Kaka we umesema wacha yafe we umeona gari imeanguka hapo? Si zimeingia stand na kusepa hizo ni fantasy zao, unafikiri hawana akili kiivyo hadi useme wacha yafe, wanafurahia kuona gari ya kwanza kuingia yawezekana gari zinaenda kwa mwendo sahihi lkn lazima iwepo ya kwanza,
 
Tutajieni zinazoenda mwendo wa kobe mimi hizo za ligi hapana kwakweli
Hizo zinazoenda mwendo wa kobe ndo mbaya sasa usijidanganye eti ni salama coz unakuta service yake yenyewe sio ya uhakika, dereva posho analipwa kidogo amejaa stress, mnakaa masaa mengi barabarani mwisho dereva anachoka maana siku nzima yuko road
 
Juzi ahamisi Ally's hio ya Saa tisa ilifika Bariadi Mjini Saa 2 kasoro, hii ningeambiwa na mtu ningebisha nimeshuhudia mwenyewe.

Hata wewe una haki ya kubisha maana sio kitu cha kawaida.

Kwa inshu ile nikajisemea huyu hamalizi week.
Moro anapita kumi na mbili na nusu asubuhi Dodoma anapita saa nne asubuhi akifika singida anazuga kidogoo anaamsha Tena sibishi Kwa kua nazijua hizo gari Toka Enzi
Ishanifikisha dar saa nne kasoro Usiku mwaka 2008 Ally's kutoka shytown saa Moja asubuhi
 
Ila wote hao hawaingii ndani ya Chuma linaloitwa Asante rabbi linalopiga route ya Mwanza-Arusha. Chuma inatembea kama ndege ya ardhini kila siku ndio inafungua geti pale singida kwa gari zinazotoka mwanza.
Kuanzia kesho watatoka naye muda mmoja hadi Singida
 
Hivi dereva anayempokea mwenzake anakuwa ametoka mwanzo wa safari au anaanzia anapopokelea bus?
Nauliza hivi kwa sababu hata ukiwa umekaa tu kutoka mwanzo wa safari, kuchoka ni kuchoka tu.
Lkn kuna angalau kidogo..
 
Back
Top Bottom