Panda happy nation Wana buss mpya nzuri sana.
Kuna jamaa yangu alitoka mwanza wiki mbili zilizopita alifika dar mapema sana. Saa tano na dakika 5 usiku.
Nauli Yake kidogo ipo juu 550,000/
Na hii ili upate ni lazima uweke booking one day before departure
Ukikosa hiyo panda ally's nayo iko vizuri.
Basi ni 2 nazoweza kukushauri upande..Wadau salama huku. Naomba kujuzwa mabasi mazuri ya kwenda Mwanza kutokea Dar es Salaam na nauli zao.
Natanguliza shukrani
Hii safari ni ndefu mno. Angalau upumzike Dodoma uendelee na Safari kesho yake.Wadau salama huku. Naomba kujuzwa mabasi mazuri ya kwenda Mwanza kutokea Dar es Salaam na nauli zao.
Natanguliza shukrani
Hii hapana ....😅🤣Kisbo safari
Chukua ally's star [emoji93] [emoji521] [emoji521] ni fire usafiri wa uhakika na unafika mapema na gari zao ni nzuri..Wadau salama huku. Naomba kujuzwa mabasi mazuri ya kwenda Mwanza kutokea Dar es Salaam na nauli zao.
Natanguliza shukrani
[emoji28][emoji28] laki tano na nusu iyo kiboko aiseePanda happy nation Wana buss mpya nzuri sana.
Kuna jamaa yangu alitoka mwanza wiki mbili zilizopita alifika dar mapema sana. Saa tano na dakika 5 usiku.
Nauli Yake kidogo ipo juu 550,000/
Na hii ili upate ni lazima uweke booking one day before departure
Ukikosa hiyo panda ally's nayo iko vizuri.
Kampun ina gari moja alafu unaisifia? Et chukua dar lux gari yenyewe ni moja yaan uache kampuni kama allys , happy nation , zuber ukahangaike na kampuni yenye bus moja tena zamanHamna gari hapo achukue Dar lux
Alipigwa pakubwaPanda happy nation Wana buss mpya nzuri sana.
Kuna jamaa yangu alitoka mwanza wiki mbili zilizopita alifika dar mapema sana. Saa tano na dakika 5 usiku.
Nauli Yake kidogo ipo juu 550,000/
Na hii ili upate ni lazima uweke booking one day before departure
Ukikosa hiyo panda ally's nayo iko vizuri.
Noma sana..safari inachosha sana hivyo..zaidi ya masaa 20 umeweka matako chini..Panda ndege kijana, dakika 45 tu upo zoo acha ubahili kushinda siku nzima kwenye siti hadi uliyekaa naye anakuwa kama nduguyo..
550k..hii ni private jet au?Panda happy nation Wana buss mpya nzuri sana.
Kuna jamaa yangu alitoka mwanza wiki mbili zilizopita alifika dar mapema sana. Saa tano na dakika 5 usiku.
Nauli Yake kidogo ipo juu 550,000/
Na hii ili upate ni lazima uweke booking one day before departure
Ukikosa hiyo panda ally's nayo iko vizuri.
Makonda wa happy nation wanasumbua Sana nimeitumia hii gari toka 2019 adi now yenyw ni nzr but wahundumu wake hawajali wateja .kam kunauwezekan wajilekebishe wanakera xanaaa.Panda happy nation Wana buss mpya nzuri sana.
Kuna jamaa yangu alitoka mwanza wiki mbili zilizopita alifika dar mapema sana. Saa tano na dakika 5 usiku.
Nauli Yake kidogo ipo juu 550,000/
Na hii ili upate ni lazima uweke booking one day before departure
Ukikosa hiyo panda ally's nayo iko vizuri.
Apande ndege ya chini siyo😂😂Chuku Ally's mzee hutajuta ...ndo Gari inayoingia mjin ikiwa ya kwanza
Wana customer care nzuri Sana.
Kama huna hela ya ndege ya juu Basi panda Ally's ndege ya chini.
Very true...Kuna limoja leusi hivi likurya ana kauli mbovu huyoo ..ila tumeshamripotiMakonda wa happy nation wanasumbua Sana nimeitumia hii gari toka 2019 adi now yenyw ni nzr but wahundumu wake hawajali wateja .kam kunauwezekan wajilekebishe wanakera xanaaa.
Fata huu ushauri hautojuta.kureed hunter ya kipekee kuliko zote..
17hrs hataree sana...miguu lazima ivimbe[emoji848]Noma sana..safari inachosha sana hivyo..zaidi ya masaa 20 umeweka matako chini..
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app