Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,340
- 46,132
Hizo picha za mabasi zinatumwa daily, ila road hayaonekani.
Milango iko upande wa pili, design ni ileileMkuu laki gari siyo za kisasa, angalau wangeleta ya milango miwili
Pumbavu kabisa unamnunuliaje mwekezaji mabasi na kumjengea yeye aje kusimamia? Ni akili au tope la kizimkazi,Utakufa na roho ya husda, wakati wa JK kila kitu Ridhiwani, hakuna jipya
Kuna mawili:
Njano ni kwa school basi, na Yanga unasemajekwa hiyo watayapaki palepale yaliwe na maji? pia, hivi rangi ya njano kwao ni mbaya sana?
Na tarehe ya kuanza huduma inabadilika kila siku. Kama tarehe ya mradi wa BRT awamu ya 5.Hizo picha za mabasi zinatumwa daily, ila road hayaonekani.
Mbona unauliza jibu dogo, kumbuka Mungu wenu Manara alishawahi kunukuliwa akiwasema wana Yanga kuwa wote ni wajinga mwenye akili pale Yanga ni baba yake tu na Kikwete.Kwahiyo sisi YANGA wajingaaaa KUCHAGUA kijani
Kijani heshimaa apopote palee
Sijui wanadanganya kwa faida ya nani aiseeNa tarehe ya kuanza huduma inabadilika kila siku. Kama tarehe ya mradi wa BRT awamu ya 5.
subscribedKuna mawili:
Rangi imechaguliwa na kupelekwa Production line.
Au pili, mabasi yamebadilishwa rangi iwe ya kijani baada ya kutoka production line.
Kwa manufaa ya nani?
Tumuulize Lucas Mwashambwa na timu yake.
Haya mabasi yamenunuliwa na MOFAT?Mofat imeingiza Mabasi tayari. Sijapenda yalivyo na rangi ya CCM. Hii ni Nchi ya Vyama vingi. Au aliambiwa usipopaka kijani hatukupi Tenda?
View attachment 3405778
KAMPUNI ya Kitanzania ya MOFAT ambayo ilipewa mkataba wa miaka 12 na Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) kwa ajili ya kuendesha Awamu ya Pili ya mfumo wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), unaotoka Gerezani hadi Mbagala kaingiza Maghari tayari katika bandari ya Dar es Salaam.
Kampuni hiyo ya MOFAT iilidai mabasi haya 255 yatatumia gesi.
....Hapa Nchini Kijani Inachuliwa kuwa ni Rangi ya Nini ??? 😏😏...Kijani sio rangi ya CCM bro.
Angalau hawa wako serious , wale waarabu wa kuanzia Kimara wako kimya.