Mabasi Mapya ya Mwendokasi ya MOFAT yatua Dar

Mabasi Mapya ya Mwendokasi ya MOFAT yatua Dar

Mofat imeingiza Mabasi tayari. Sijapenda yalivyo na rangi ya CCM. Hii ni Nchi ya Vyama vingi. Au aliambiwa usipopaka kijani hatukupi Tenda?
View attachment 3405778
KAMPUNI ya Kitanzania ya MOFAT ambayo ilipewa mkataba wa miaka 12 na Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) kwa ajili ya kuendesha Awamu ya Pili ya mfumo wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), unaotoka Gerezani hadi Mbagala kaingiza Maghari tayari katika bandari ya Dar es Salaam.

Kampuni hiyo ya MOFAT iilidai mabasi haya 255 yatatumia gesi.
Cc Richard
 
Mboni CCM? Hivi hujaelewa nini hapo? Hii sio Yanga ni CCM, kwanini wasingepaka hata rangi ya Udongo tu?
Tulia ACHA wivuuuu weweee na mwakani yunawpganmbelenyuma mpaka MAKOMBE radhi lile jenezaaa
 
Kumbe Bongo ipo Hivyoo niondoke Sasa huku chanika mji siujui tena.
 
Kama tulivyowafanya Simba huko nyuma miaka 4
Mimi sio Simba mkuu mimi ni Yanga hujaelewa nini wewe Simba tumekufanya nini huko nyuma hapo tarehe 25.06.2025 ushasahau tulichokufanya huko nyuma?
 
Back
Top Bottom