Mabasi Makali .........................

Amavubi, nenda kanywe maziwa toka saa 2.33 asubuhi mpaka muda huu saa 8.07 uko kwenye electronic gadget ndani ya JF. Mwingine NI Mbuzi Mzee mkapumzike jamani!!!!!!!
 
leo set aside (set a dat-sat day) kwa ajili ya JF, mbona Mbuzi Mzee sijamuona? au yuko majukwaa mengine?
 
View attachment 73984
duniani hii tofauti sana

Huyo bwana anayebembea hapo si abiria ni aina mpya ajira za JK zilizoibuka hivi karibuni.Hapo anawahi siti ili alipwe 500 na abiria atakayekalia siti. Kwa kweli bado tuko kwneye ujima sijui tutatokaje hapa na akina Nape
 
mabasi kama haya yatatembea hapa bongo labda tu kuwe na barabara mahsusi...
 
Huyo bwana anayebembea hapo si abiria ni aina mpya ajira za JK zilizoibuka hivi karibuni.Hapo anawahi siti ili alipwe 500 na abiria atakayekalia siti. Kwa kweli bado tuko kwneye ujima sijui tutatokaje hapa na akina Nape
hizo pamba atakua amenunua kwa kazi hiyo?
 
Amavubi, nenda kanywe maziwa toka saa 2.33 asubuhi mpaka muda huu saa 8.07 uko kwenye electronic gadget ndani ya JF. Mwingine NI Mbuzi Mzee mkapumzike jamani!!!!!!!
wote tukanywe maziwa, yamkini muda wote huu na wewe UKO SAMBAMBA
 
je hizi za mabasi ya kasi zitasaidia?

kama huo mradi utaendeshwa kitaalam, basi nadhani utakua na tija...kumbuka ushawahi kuwepo mradi wa UDA ambao mwisho wa siku ulikufa.
 
Privatization if Politics
 
wat 8, tumebaki wawili tu kwenye huu mjadala
 
Candid Scope, ingekuwa magari yana aibu kama binadamu mengine yangegoma kutembea, hilo la hapo juu limekosa sura kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…