Mabasi haya mnayakumbuka?

Mwanza pia nakumbuka,Tanganyika,manko bus,Jay Ambe,Jay jararam,Air bus,mashiku bus,zuberi,n.k
jay ambe na jay jararam zilikuwa daladala, pia kulikuwa na lastboy zilikuwa na tv, mayeji 4, ctk trans
 
Wengi watoto humu,wale was mbeya mwakabulutu,busokelo,mukufwana mukungeta.mby-dar
 
Saf
Safina je?sun shine?mafegi??
 


Awali Kwacha ilifahamika kama Mwangubi au Idd Masasi kama sijakosea
 
Ndege mnana huyu alikua anakaa nyuma ya nyumba kutokana ushirikiana wake kwa sasa hana ishu mjini yupo yupo familia yote imemkimbia ana ungaunga tu kwa watu uchawi noma sana!
Hapa kwenye AMTICO umenikumbusha mbali sana enzi za
NDEGE MNANA
ZAFANANA
MARAHA
KIDATO
SIMBA MTOTO
 
Super hongera na yero mbasai scania 92H mtae rangwi dar, haikua masihara
 
Zainabu zimetamba saana kigoma hadi mwanzoni mwa miaka ya 2000

Tanga to iringa MELI YA TOGWE ilitamba saana
 
Umenikumbusha madereva wa Songea Dar enzi hixo Tawaqal unamkuta Giriki, Kiswele unawakuta Yogi, Okalla na Rwambo, Zainabs unamkuta Shida na Special coach unamkuta John Africa na Mapunda......dah ilikuwa ni moto chini!
Shida huyu huyu mwanae aliyegonga gari la RC wa Mara??
 
Sharuks enzi zile linasafiri usiku, likizo kwa bibi na babu, familia yoote.
Simba mtoto na zile honi zake enzi ile wkt tunaenda mtawala ukiliona unapiga kelele dereva anapiga honi basi raha.
 
Nyatco,safina,matema beach ,kiswele,tawaqal,enzi hizo kyela DAR nauli 7000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…