Mabasi haya mnayakumbuka?

Hilo na 6 Ni Tusi kubwa mno kwa watu wa kigoma usiitaje tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kweli utakuwa wa Songea... Hayi Mabasi yalifanya vema sana kwa Safari za Dar - Songea, na Dar-Iringa ndio ilikuwa Kwacha
Kwacha, Dar - Iringa
Bin Kleb
Kiswele
Turbo Express
Special Sleeping Coach
Tawaqal
Likungu Line
Ruvuma Line (ya kina Mohamed Mfyule na Sadi Investment, Waliingia huko baada ya kutamba sana na Toto Coach na Sadi Inv.)
Sumry
Mail Coach (lilikuwa la Posta)
Scandinavia
Metro coach
Zainab na
Sabco
Baadaye ndio yakaingia sasa;
Shabiby Line
Ottawa na
New Force


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kuna kitu kiliitwa Tanganyika Bus na Trans African Roadways!!!! Gari zilikuwa za Wahindi Singa Singa wa Mwanza zilitamba Sana, Tanganyika bus ilifikia wakajimilikisha stendi kuu ya Mwanza, Maana gari zao tu zilitosha kujaza stendi!!! Mamaae wahindi wamekula neeema nyingi sana za nchi hii!!!!
 
New Arusha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
....Ndege Mnana - Handeni
Mbaruku - Korogwe, Lushoto
 
Enzi hizo kwa sisi washambaa ilikuwa ni kawaida kupanda Simba mtoto, Satellite, Zamoyoni, Zafanana, Shengena; Dah! ila tumetoka mbali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…