McDonaldJr
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 6,386
- 7,562
Mteremkoooo km una-slide kwny tiles zenye povu vileee...!
Hisaje ndo api?
Hahahahah
Mkuu unanionea bure. Mabaamedi ni mapatna wangu kwenye mtungi tu na si vinginevyo. Labda itokee tu.
Mkuu, kuna London Pub iliyopo Makuburi(karibu na Mkapa export zone) , na London bar iliyopo Ubungo maziwa..
Ni ipi uisemayo wewe?
Kama ni yule wa Hisaje, tujumuike kulia pamoja.
Unaweza ukabisha lakini wahudumu wa bar ni cold prostitutes
Unakuta ana wapenzi wa mchana kabla hajaingia kazini saa kumi, hawa mara nyingi ni watu wa mishemishe, wezi na matapeli
Wapenzi wa jioni, hawa ni wafanyakazi maofisini na watu mwenye ndoa zao, ambazo hawakai zaidi ya saa tatu au saa nne Usiku
na mwisho ni wapenzi wa Usiku mwingi hawa mara nyingi ni mabachela, wahuni , wezi nk na mara nyingi ndio huwa wapenzi wa kweli
Wale wadoeaji wapenda vya bure nao huja Wakati huu wa Usiku mwingi ambapo hukuta barmaid ameshakula ameshakunywa Kwahiyo alichokosa tu ni chumba na hataki kulala gheto Hapa jamaa hujibebea kiulaiiiini
Kama ilivyo ada kuwa K ni kama halua haina makombo kula ukijua kuwa haupo pekeyako usijekugongana na mwenzako ukaanza kurusha ngumi utachekwa...!!!w
Acha Masihara..... Haya unipitie pale Basihaya Fesibuku pub tuongozane shehe....he! tujuzane! Hisaje sebuleni shehe!
Unaniharibia move kwa wajukuu ujue....:redface::redface::redface:hahhahahahahahaha
mbona umeanza kujitetea kwani mimi nimesemaje mkuu wangu?
halafa huko kutokea ndo kupi huko na hutokea nini?
isijekuwa na huko bar ni muzee ya ukaguzi
Unaniharibia move kwa wajukuu ujue....:redface::redface::redface:
naona huyu jamaa wa london anabana ngoja tu nisogee italiano house