wanajamvi huku kwetu kumebandikwa mabango kwa wale wanaotaka kujiunga na free mason, sijui tanzania tunaenda wapi.wameweka namba ya kuwapigia, natoa wito kwa tunao mjua tukemee hali hii. mimi nipo nyololo.
!
!
bango hili halijakaa kifreemason, limekaa kidhikidhiki hadi basi