Synthesizer
Platinum Member
- Feb 15, 2010
- 14,194
- 25,956
Wana jamvi ebu nielimisheni kuhusu mabango yalotawala barabarani kwa hapa dar yamejaa mno ya mh magufuli alafu wagombea wengine awapo.
Halafu kuna wimbo wanaimba CCM ni ile ile hawaoni kuwa una upungufu.Ccm ni ILE ILE haina mabadiliko
watu wanatumia gharama kuubwa kutengeneza hayo mabango nje kwa kitu ambacho kinaweza kutengenezwa hapa nchini halafu wanatuambia watatengeneza ajira kwa asilimia 40? ufinyu wa mawazo huo. bora huyo lowasa ambaye amewapa hiyo kazi vijana watanzania ambao wamenufaika.Lowasa picha zenyewe za kuweka kwenye Mabango hana, ndo anazitengenezea Gongolamboto, Tandale, Tandika na kwingineko. Aliisahau hiyo part ya Mabango na matangazo.
Hujaeewa nini wakati kila kitu kipo wazi?Kwa kawaida tangu zamani nilizoea kuona mabango ya wagombea urais yakimtangaza mgombea na chama chake. Sasa haya ya Mwaka huu naona ccm hawajatangaza kabisa chama,wao wamemtangaza tu Magufuli. Chunguzeni sana mabango yote, hakuna mahali pana neno chagua ccm. Ina maana ccm imekufa?.
Kuna mabango sasa katika kila nguzo ya taa za barabarani katika hii barabara mpya nyembamba ya Morogoro. Hata barabara haijafunguliwa, mabango yamewekwa lukuki. Watuwashie basi taa ili tuweze kuona vizuri usiku?!
Mkuu hawa watu hakuna rangi wataacha kuona mwaka huu. Halafu mbaya zaidi wale wadhamini wao wahindi mwaka huu wote wameshaondoka to canada, wameacha vumbi tu. Kwa hiyo hali Yao kiuchumi ni mbaya sana. Trip hii najua NSSF watakoma. Hakuna na Daraja la kigamboni wala cha nini yaani wako tee kabisa. Kweli Siku ya kufa nyani ...............Wangebadili na rangi kabisa...
Mwaka huu sisi hatutaki rangi ya kijani