Mabanda ya kuku ya kienyeji kwa bei nzuri

LuisMkinga

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2012
Posts
3,368
Reaction score
6,487
Habari za kazi wajasiriamali wezangu.. kwa wale wanaohitaji mabanda bora( yenye design tofauti tofauti kutokana na eneo lako) kwa ajili ya kufugia kuku wa kienyeji.
faida ya haya mabanda.
1.Rahisi kuhamishika
2. Yana njia rahisi kwa ajili ya kufanyia usafi na matengenezo.
3. yana sehemu maalum kwa ajili ya kuku kutagia.
4. banda lina hewa ya kutosha na mwanga kwa ajili ya ufugaji bora.
picha chache za sample.

tafadhari ni PM au luismkinga@gmail.com piga +255 715 805 600.

new-sussex1.png new-kent-double-run3.png new-sussex2.png
 
Pamoja na kubebwa hilo paa na mvua vipi au unaweka ndani ya nyumba? Design izingatie hali ya hewa mvua ikiwemo. boresha design tutakutafuta
 
Habari za kazi wajasiriamali wezangu.. kwa wale wanaohitaji mabanda bora( yenye design tofauti tofauti kutokana na eneo lako) kwa ajili ya kufugia kuku wa kienyeji.
faida ya haya mabanda.
1.Rahisi kuhamishika
2. Yana njia rahisi kwa ajili ya kufanyia usafi na matengenezo.
3. yana sehemu maalum kwa ajili ya kuku kutagia.
4. banda lina hewa ya kutosha na mwanga kwa ajili ya ufugaji bora.
picha chache za sample.

tafadhari ni PM au luismkinga@gmail.com piga +255 715 805 600.

View attachment 84848 View attachment 84849 View attachment 84850

kuku mimi nimeyakubali plz niwekee bei zako mkuu, au niPM
 
Haya mabanda na ya Nchi za Baridi kama Ulaya ambako ndo hutumika sana na ikigooge utakutana nayo mengi tu, ila kwa mazingira ya kuku Uswahilini hayafai kabisa na si kwamba napondea ila ni mazungira kwa sababu kwa Ulaya nazani mnajua mambo kama wezi ni hakuna kabisa, Ila huku Bongo ni tatizo kubwa sana
 
no kweli kabisaa. Sie haya mabanda tulikuwa tunatengeneza kwenye mikoa ya iringa na mbeya..
 
good ideas, bei gani kwa moja na wapi unapatikana
 
Habari wakuu!
Naombeni mnisaidie ramani ya banda la kuku. maana nipo kwenye maandalizi ya ujenzi. Mwenye nayo ani PM tafadhali
 
Bei gani

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom