Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,203
- 128,037
Aliyekua meya wamanispaa ya Bukoba ndgu Anatory Amani amejiunga na CHADEMA rasmi. Aliyekua waziri wa zamani wa nishati na madini Nazir Karamagi amejiunga na CUF
2. Aliyekuwa mgombea udiwani kwa tiketi ya CCM, Keko, Peter Mtisi pamoja na makada 100 wa CCM wamejiunga CHADEMA.
3. Mbuge wa Sikonge Said Nkumba avaa gwanda naye.... ukombozi unaendelea
Hakika haya mafuriko yamemfika mwenyekiti wa ccm shingoni,
Kashindwa kupiga mbizi, akitazama mbele mbali, akitazama nyuma mbali.