Mabalozi mia moja wa CCM Monduli, wahamia CHADEMA

Mabalozi mia moja wa CCM Monduli, wahamia CHADEMA

UCHAGUZI 2015: Viongozi CCM Monduli wakiwemo M/kiti Swalehe Ramadhani, Katibu Anna Ernest watangaza kujiunga Chadema leo. Wasema CCM imekiuka kanuni za uchaguzi
Time: 2015-08-13 18:49:16

At the last account nilifikisha Madiwani 59 wabunge 13 na vitongoji 200 wamehamia CDM. Duh! Monduli ina watu milioni 3 kama Geita?
 
hapo ndio utajua nani alikuwa mwanachama halisi na nani alikuwa bendera fuata upepo...
wao walikuwa ccm kwa sababu walikuwa na madaraka..sasa wanaona upepo unaelekea kwa lowasa na wamefuata hukohuko...
wanasingizia eti mchakato wa kupata mgombea ulikuwa batili,kama ndio hivyo why chadema? na sio vyama vingine vya upinzani? inaonesha kumbe hata kama lowasa angehamia ACT nao wangefuata hukohuko..

Hapa ndio tutakapoona unafiki wa wanasiasa ulivyo..siku za nyuma aliinadi sana katiba tena kwa nguvu zote,sasa kuhamia chadema tutasikia wanageuza maneno wanaanza kuipinga na katiba pendekezwa maana ndiko UKAWA ilikoegemea...
October lazima watu wafe kwa presha kama sio kichanganyikiwa.
 
Wale mlibakia Ccm bado kumbukeni mungu alivyochukizwa na matendo maovu ya wanadamu akamwambia Nuhu atengeneze Safina iliyomponya yeye na familia yake baada ya kutuma gharika iliyowaangamiza waovu. Muda wa kuondoka Ccm kwenye maovu yaliyomchukiza mungu ndiyo huu msipuuze kuingia kwenye Safina ya Ukawa mkasubiri gharika mkaangamia. Mwenye macho haambiwi tazama ilivyokuwa enzi za Nuhu ndivyo itakavyokuwa kuangamia kwa Ccm. Msiseme hatukuambia wala hamkusikia na kuona kwa macho yenu huu ni mpango wa mungu baada ya waja wake kumlilia kwa machozi ya damu jinsi walivyotendwa na Ccm.
 
aiseee huku tumejaa imetosha sasa.mnaotaka kujiunga na ukawa imetosha mbaki huko huko maana huko nako panatakiwa watu wabaki.tuliopo huku tunatosha kufanya mabadiliko wengine mbaki chama cha upinzani cha ccm.maana mkija wote nani sasa atatuchallenge.
aghhhhh bakini huko huko bana
 
Hata wamasai nao watutishe waondok mikowa 4haiwezi nunuwa raisi jamani huyu mvaaa nusu nae tusilale kwajili anamtaka mwenziyo utashangaa nini?waondoke mpka hata na NGO"mbe zote zipige kura ccmtutashinda
 
Wale mlibakia Ccm bado kumbukeni mungu alivyochukizwa na matendo maovu ya wanadamu akamwambia Nuhu atengeneze Safina iliyomponya yeye na familia yake baada ya kutuma gharika iliyowaangamiza waovu. Muda wa kuondoka Ccm kwenye maovu yaliyomchukiza mungu ndiyo huu msipuuze kuingia kwenye Safina ya Ukawa mkasubiri gharika mkaangamia. Mwenye macho haambiwi tazama ilivyokuwa enzi za Nuhu ndivyo itakavyokuwa kuangamia kwa Ccm. Msiseme hatukuambia wala hamkusikia na kuona kwa macho yenu huu ni mpango wa mungu baada ya waja wake kumlilia kwa machozi ya damu jinsi walivyotendwa na Ccm.

Usilete mambo ya mungu katawaze kwanza
 
Watanyooka tu na hamna kuomba poo!!na tukishika dola viwanja vyote vya mipira vilivyo chini ya ccm tunavirudisha kweny halmashaur maana hamna namna nyingine
 
Katika hali isiyo ya kawaida jinamizi la kuhama laendelea kukitesa Chama cha Mapinduzi.Baadhi ya Mabalozi na wanachama wa CCM wa Monduli wahamia CHADEMA kutokana na ukosefu wa haki ndani ya Chama Cha Mapinduzi.

Chanzo;Star Tv
 
Back
Top Bottom