Mabalozi CCM wanaswa wakiandikisha wapigakura

[QAAAAAUOTE=CAMARADERIE;2517812]
07kurabalo.jpg
[/QUOTE]
Ama kweli hawa wana ccm ni vipofu kwelikweli! Tena ni vipofu hasa wa roho na mwili!

Tupe hizo nyuzi kashikwa UGONI wapi mie ni mtu wake wa kalibu sina hizo!!!!
Kaka we jina lako la kweli siyo Rajab wewe? Au Rajab siyo bro wako? Manake huyo Mwigullu kafumaniwa na mke wa Rajab halafu we unajifanya huelewi!

mkuu website inaitwa tanzagiza.com ..unataka website yao iwe na rangi nyeupe au? hilo weusi ndiyo giza lenyewe!

mkuu hata kama wanaitwa tanzagiza,warekebishe,maana hata post za watu hazisomeki!text zinapotelewa kwenye giza,na inapoteza maana.

[QAAAAAUOTE=CAMARADERIE;2517812]

Ama kweli hawa wana ccm ni vipofu kwelikweli! Tena ni vipofu hasa wa roho na mwili![/QUOTE]

Namtamani sana huyu jamaa ila siwezi kumpata.

mkuu hata kama wanaitwa tanzagiza,warekebishe,maana hata post za watu hazisomeki!text zinapotelewa kwenye giza,na inapoteza maana.

Hayo maneno yangewafaa sana watu haw,NGELEJA NA JK.

Huyo mzee aliisha achana na ubalozi siku nyingi na si kada tena wa CCM.Huu ni ujanja wa CDM kutaka kujisafisha kwa kitendo cha aibu walichomfanyia DC.Watu wa Igunga wanajua ukweli labda wadanganyeni watu wa Arusha na K'njaro.

Kitendo gani cha aibu? Siku CDM wamekuwa wakisisitiza kufutwa kwa nafasi za wakuu wa mikoa na wilaya kwa kuwa hawana majukumu yoyote yenye tija kwa mustakabali wa taifa hili ikilinganishwa na bajeti kubwa wanayotegengewa. Kukamatwa kwa DC wa Igunga akiwa na vikao vya siri katika ofisi za Halamashauri za wilaya pasipo Mkurugenzi wa Halamashauri husika kuwa na taarifa yoyote ni uthibitisho kuwa wakuu hawa wa mikoa na wilaya wanatumia fedha za walipa kodi kuimarisha chama kimoja cha siasa.

kwa kawaida Mkuu wa wilaya anpokuwa katika ziara kama hizi ni lazima afuatane na polisi kutoa ofisi ya OCD wa wilaya. Kam kweli alikuwa akifanya kazi za kiserikali walikuwa wapi polisi hao? Mbona alikiri kuwa hakuwa na taarifa juu ya mkutano wa kampeni wa CDM katika eneo hilo, ikiashiria ya kuwa hata Mkurugenzi wa Halamshauru hakuwa na taarifa juu ya ziara hiyo ya DC na madhumuni ya ziara hiyo.

Waliomkamat DC huyu ni mashujaa kweli kweli.

Back
Top Bottom