Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,494
- 12,466
Sio..pu...b.uhizo pu m b .u au nini
Kwa kweliZimenona aisee
Hizo mkubwa unatoboleakijiti hapo juu unafunga na kama ili hicho kiini humo ndani kisitoke alafu unamwagia maji ya moto au ya baridi alafu unaweka kwenye mkaa kidogo ukitoa unakwangua na kisu zinakuwa nyeuoe pee hayo manyoya yanatoka yote baada ya hapo unatumbukiza kwenye suou ***** zikiiva unatoboa kidogo na tuthpick ili zisipasukie humo alafu zikiiva weka kwenye sahani katakata zipoe kidogo anza kula (hapa mate yamenitoka kidogo) baada ya hapo kama wewe ni mnywaji kaa gize nyagi au k.vant safi jifariji
wa mkoani wanakulaga hyo kitu Cc dar hatulagi kabisa takataka hiyoSio..pu...b.u
Huo ni mzigo
Mkuu upo vizuriHizo mkubwa unatoboleakijiti hapo juu unafunga na kama ili hicho kiini humo ndani kisitoke alafu unamwagia maji ya moto au ya baridi alafu unaweka kwenye mkaa kidogo ukitoa unakwangua na kisu zinakuwa nyeuoe pee hayo manyoya yanatoka yote baada ya hapo unatumbukiza kwenye suou ***** zikiiva unatoboa kidogo na tuthpick ili zisipasukie humo alafu zikiiva weka kwenye sahani katakata zipoe kidogo anza kula (hapa mate yamenitoka kidogo) baada ya hapo kama wewe ni mnywaji kaa gize nyagi au k.vant safi jifariji
matemate flan hiv yamejaa mdomoni doohHizo mkubwa unatoboleakijiti hapo juu unafunga na kama ili hicho kiini humo ndani kisitoke alafu unamwagia maji ya moto au ya baridi alafu unaweka kwenye mkaa kidogo ukitoa unakwangua na kisu zinakuwa nyeuoe pee hayo manyoya yanatoka yote baada ya hapo unatumbukiza kwenye suou ***** zikiiva unatoboa kidogo na tuthpick ili zisipasukie humo alafu zikiiva weka kwenye sahani katakata zipoe kidogo anza kula (hapa mate yamenitoka kidogo) baada ya hapo kama wewe ni mnywaji kaa gize nyagi au k.vant safi jifariji
Zina kazi zake hizo wewe
Hivi vile vichwa vya kuku,miguu na utumbo wanakulaga watu wa wapi?wa mkoani wanakulaga hyo kitu Cc dar hatulagi kabisa takataka hiyo
Kwa bahashiteHivi vile vichwa vya kuku,miguu na utumbo wanakulaga watu wa wapi?