Red black
JF-Expert Member
- Nov 29, 2019
- 2,804
- 7,065
Intelligent businessman jibu lako hili hapa la swali uliloniuliza kwenye thread yako mkuu.ni mwanamke mjinga tu hubeba mimba kwa swaga anazopewa
Intelligent businessman jibu lako hili hapa la swali uliloniuliza kwenye thread yako mkuu.ni mwanamke mjinga tu hubeba mimba kwa swaga anazopewa
Chizi anafurahisha akiwa wa Jirani yako,kwani lazima uzae nae.
Unamjua Kevin Twisa yule kagonga sana Mamiss wa waliokuwa wakishiriki Miss Tanzania,enzi hizo akiwa Vodacom kama mkuu wa kitengo cha mauzo na hajawazalisha hovyo.
Mbona ngozi kama hizo hata sisi tunagonga,hila hatuna ulimbukeni ulikuwa nao ww.
Na Mimi nasema hio couple ni ya wajingaIntelligent businessman jibu lako hili hapa la swali uliloniuliza kwenye thread yako mkuu.
Kumwagia chai ya maziwa kuzuri kuna raha yakeMimi na wengine tuta~deal na mademu sura za kati na ngumu,halafu wew na raia wengine kamateni hizo pisikali!
Mbona ya kawaida mkuuKutokuzaa na pisi ya namna hii kutakuwa na tatizo mahali..
View attachment 2973080
Unakuwa umetengeneza kizazi kama tunavyovisoma kwenye biblia; maisha ya mwanadamu huwa ni historiaAlafu itakusaidia nini?
Ha hahaNa Mimi nasema hio couple ni ya wajinga
Ukifuatilia sana maisha ya duniani ni ubatili mtupu, muhimu tuache asili (nature) iamue.Usiangalie wingi quantity pia angalia na u bora quality
Uzuri au waswahili mnaita pisi Kali unabidi kuendana na brain.
Maana dunia imeshatoka katika mwonekano wa MTU wa nje dunia ya Leo. Inaangalia potential na value.
So kuzaa na pisi Kali italeta maana hiyo Pisa kali inajitambua kichwani. Na Ina uchumi imara.
Ebu tuwekee pisi yakoMbona ya kawaida mkuu
Weka Uzi wangu aone, huenda ata elewaHa haha
Hivi unamjua Twisa ww? Mwanaume kamili hazai hovyo hovyo.Kutokuwazalisha ni aina fulani ya udhaifu, kataa ukubali huo ndio ukweli; ndio maana wengine wanahonga nyumba n.k baada ya kuweka nembo(watoto).
Tofauti na hapo itakuwa ni stori tu, na watakudharau pale mtakapoachana.
Kuwa mbegu yake ina dhahabu au? Wanaotunukiwa mimba ni watu wachache wanaojielewa.Hivi unamjua Twisa ww? Mwanaume kamili hazai hovyo hovyo.
Endelea na utoto wako.Kuwa mbegu yake ina dhahabu au? Wanaotunukiwa mimba ni watu wachache wanaojielewa.
Mtoto wetu anaendeleaje kwanzaIla shem wakufunge kamba dawa hazifanyi kazi, utopolo gani huu umeandika??
Kwa hali uliyonayo umuoe da mau ndo mta match 🤣Mtoto wetu anaendeleaje kwanza![]()
tena hawa sura za wastani ni watamu balaa,kitu "nta"hadi uneza koj*a ubongo!!hao pisikali wanaanza kuburuza wakiwa wadogo hence machine zinachoka mno!Kumwagia chai ya maziwa kuzuri kuna raha yake
Kwa hali uliyonayo umuoe da mau ndo mta match 🤣