Mabadiliko ya mwonekano wa iPhone tangu kuzinduliwa hadi sasa

Sam Gidori

Senior Member
Sep 7, 2020
165
414
Januari 9, 2007 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Apple, Steve Jobs alitangaza kuzinduliwa kwa simu ya iPhone, simu iliyokuwa na iPod, kamera na uwezo wa kutumia intaneti, kati ya vingine vingi. Tangu wakati huo hadi sasa, tumeshuhudia mabadiliko ya vizazi vya iPhone, kila toleo jipya likionekana kuwa bora kuliko lililopita.

Kwa miaka 13, iPhone imeuza zaidi ya simu bilioni 2.2 duniani, iPhone 6 na 6Plus zikitajwa kuwa simu za Apple zilizouzwa kwa wingi zaidi, mauzo ya mwaka 2014 yakifikia simu milioni 222.

Angalia mabadiliko ya mwonekano wa iPhone tangu kuzinduliwa kwake mwaka 2017 hadi mwaka 2020.

2007 - iPhone

2008 -
iPhone 3G


2009 - iPhone 3GS


2010 - iPhone 4



2011 -
iPhone 4s


2012 -
iPhone 5



2013 - iPhone 5s na iPhone 5c


2014 - iPhone 6 na iPhone 6 Plus


2015 - iPhone 6s and iPhone 6s Plus



2016 - iPhone 7 na iPhone 7 Plus




2017 - iPhone 8 na iPhone 8 Plus



2017 - iPhone X



2018 - iPhone XR, iPhone XS, na iPhone XS Max



2019 - iPhone 11, iPhone 11 Pro, na iPhone 11 Pro Max





2020 - iPhone 12 mini, iPhone 12, iPhone 12 Pro, na iPhone 12 Pro Max

 
ipone 6s naukubali mwonekano wake mnoo achana namwonekano wa kiboya wa iX pro..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ