iphone 12

The iPhone 12 and iPhone 12 Mini (stylized as iPhone 12 mini) are smartphones designed, developed, and marketed by Apple Inc. They are the fourteenth-generation, lower-priced iPhones, succeeding the iPhone 11. They were unveiled at an Apple Special Event on October 13, 2020 alongside the higher-end iPhone 12 Pro and iPhone 12 Pro Max flagships at Apple Park in Cupertino, California. Pre-orders for the iPhone 12 started on October 16, 2020, and the phone will begin shipping on October 23, 2020. Preorders for the iPhone 12 Mini will begin on November 6, 2020, and the phone will start shipping on November 13, 2020.The iPhone 12 Mini starts at US$699 and the iPhone 12 starts at US$799. These prices only apply to phones sold for use on AT&T, Verizon, and T-Mobile (including legacy Sprint) networks; prices for SIM-free models are $30 higher.

View More On Wikipedia.org
  1. Zombie S2KIZZY

    iPhone 11 Pro vs iPhone 12 plain

    Wakuu mambo vipii Naombeni mnisaidie majibu kwa wale ambao wameshatumia sim hizi zote mbili,nataka nijue kutoka kwenu sim ipi ni bora kati ya iPhone 12 plain na iPhone 11pro, kuanzia kwenye picha ipi inatoa picha Kal kulko mwenzie na ni ipi performance yake ni nzur kwa matumiz ya Mtanzania...
  2. BARD AI

    Apple yapigwa faini Tsh. Bilioni 46.6 kwa kuuza simu bila chaja

    Jaji Caramuru Afonso Francisco wa Mahakama ya Haki za Kiraia ametoa hukumu hiyo na kuita utaratibu huo "matusi ya kibiashara" ambayo yanawalazimu wateja kununua bidhaa ya ziada Uamuzi huo unaoweza kukatiwa rufaa unakuja baada ya Apple kupigwa faini nyingine ya Tsh. Bilioni 5.8 kwa suala hilo...
  3. makaveli10

    Phone4Sale Iphone 12 Pro Max 256 GB

    Ndugu zangu nimekuja kwa niaba ya ndugu yangu. Ndugu yangu(rafiki wa dhati kabisa) kakwama, kanikuta nduguye niko dhohoful hali kiuchumi. Tatizo hili ni kama langu, mnisaidie ndugu yenu. Tunauza hiyo simu, imenunuliwa mwaka jana tu. Hata mtu akitaka kwa bondi zipo simu(hii na s9), tv hata...
  4. The Evil Genius

    Hakuna tofauti kati ya Iphone 12 na Iphone 13

    Kuna watu wanasema Steve Jobs alikufa na Ubunifu wake pale Apple. Hii inaweza kuwa kweli. Angalia, leo Apple wamezindua simu mpya ya Iphone 13, ukiiangalia simu na hata matangazo yake yameionyesha hakuna tofauti na Iphone 12 ya mwaka jana. Watu wengine wanasema ni bora Apple wangeiita Iphone...
  5. S

    Nifahamisheni duka zuri hapa Dar zinapouzwa Iphone 12

    Habari zenu, Nifahamisheni duka zuri hapa Dar zinapouzwa Iphone 12 nzuri na za uhakika (yasiwe maduka ya makanjanja nsije kupigwa feki). Natanguliza shukrani
  6. Sam Gidori

    Mabadiliko ya mwonekano wa iPhone tangu kuzinduliwa hadi sasa

    Januari 9, 2007 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Apple, Steve Jobs alitangaza kuzinduliwa kwa simu ya iPhone, simu iliyokuwa na iPod, kamera na uwezo wa kutumia intaneti, kati ya vingine vingi. Tangu wakati huo hadi sasa, tumeshuhudia mabadiliko ya vizazi vya iPhone, kila toleo jipya likionekana...
  7. Sam Gidori

    Samsung yaipiku Apple kwa mauzo ya simu robo ya kwanza ya mwaka

    Uamuzi wa kampuni ya simu ya Samsung kushusha bei ya simu zake aina ya Galaxy S21 unaonekana kuipa faida kampuni hiyo baada ya kumpiku mpinzani wake wa karibu, Apple katika mauzo ya simu duniani kwa robo ya kwanza ya mwaka huu. Kampuni hiyo ya Korea Kusini imeonekana kufanya vizuri katika mauzo...
  8. ESPRESSO COFFEE

    Nahitaji kununua i phone 12 Pro Max

    Habarini Wadau Nina hitaji kununua hii simu kutoka kwa Muuzaji yeyote aliyepo Dar, iwe Mpya Kabisaa. Mimi nipo mkoa tofauti na DAR. Lengo hapa nikujua ni Muuzaji gani naweza kumtafuta instagram ambae ni wa kuaminika na simu zake hazina magumashi. Muuzaji ambae atapendekezwa na wengi bila shaka...
  9. Nafaka

    iPhone 12 haitokubali spare hata kutoka kwa iPhone nyingine

    Nimeona review simu hizi mpya za iPhone 12 kuwa hata ukichukua kioo ukakibadiisha ukakiweka kwenye simu nyingine kama hiyo hiyo, kwanza ukiiwasha haitowaka unless uiwashe kwa kuplug in charger. Ikishawaka itakuletea msg kuwa umeweka kifaa ambacho siyo cha simu hiyo, face id haitofanya kazi na...
Back
Top Bottom