Kuna mambo mawili hapa labda unataka kufurahisha baraza au .... (inabidi nimezee)Ni mwadilifu,
mcha mungu,
anatupenda (kaoa kiislam...cjuw idad ya wake).... so siyo muhuni.
akivaa suti, is so cute!
ishu zingine, ni mattatzo ya Mungu......
umeme, aaaah,iko sku mtasahau.
nchi ya amani,
hata kugoma hatuwez...........
Nilitaka watu wamwage machungu ya moyo waliyonayo....... mi.nampenda JK, NAFURAHI ANAVYOCHEKACHEKa...... cjuw nifanyaje nioe kwa familia yake!!!!!!!!Kuna mambo mawili hapa labda unataka kufurahisha baraza au .... (inabidi nimezee)
JK ametufanyia mambo mengi mazuri sana, anasifiwa na kila mwanaCCM na ni kipenzi cha watu wakawaida. Je great thinkers wa JF mnaonaye tukibadili Katiba tumpe JK miaka mingine 5 aweze kusimamia utekelezaji wake? Je kama itakuwa hivyo, matatizo (CCJ vs the gang of 3) ya mbio za Uraisi 2015 yatakwisha?
Yaani unataka watu wapigwe BAN kwa kushindwa kijizuia kutumia lugha mbaya dhidi yako? Haya ndugu, ngoja mimi ninyamaze kwa sasa!JK ametufanyia mambo mengi mazuri sana, anasifiwa na kila mwanaCCM na ni kipenzi cha watu wakawaida. Je great thinkers wa JF mnaonaye tukibadili Katiba tumpe JK miaka mingine 5 aweze kusimamia utekelezaji wake? Je kama itakuwa hivyo, matatizo (CCJ vs the gang of 3) ya mbio za Uraisi 2015 yatakwisha?
Buchanan, hamna haja ya kutumia lugha mbaya, unajua nchi sasa hivi haitawaliki kwa sababu ya migogoro ya kuwania urais 2015, lakini tukimwongezea jamaa miaka 5, kina six, EL watakuwa wazee sana kugombea 2020,Yaani unataka watu wapigwe BAN kwa kushindwa kijizuia kutumia lugha mbaya dhidi yako? Haya ndugu, ngoja mimi ninyamaze kwa sasa!
Huyo JK sidhani kama unamtakia mema, maana ataondolewa na wananchi kabla hajamaliza hata mwaka mmoja wa nyongeza. Kwa nini hutaki kuamini kwamba duniani hakujawahi kutokea raisi mbovu kama JK?JK ametufanyia mambo mengi mazuri sana, anasifiwa na kila mwanaCCM na ni kipenzi cha watu wakawaida. Je great thinkers wa JF mnaonaye tukibadili Katiba tumpe JK miaka mingine 5 aweze kusimamia utekelezaji wake? Je kama itakuwa hivyo, matatizo (CCJ vs the gang of 3) ya mbio za Uraisi 2015 yatakwisha?
bila shaka atakuwa shoga 2!hivi jamani kwani kila mtu lazima apost kitu!!! mana sometimes unaishia kupost maujinga!!! na hapo kapost mwanaume ingekuwa mwanamke mngesema wanawake hawana akili!! what about aliyepost thread hii tunamweka kwenye fungu gani!
kuna tetesi alikuwa us kuangalia mechi ya timu y ngassa vs man u,huku 2kaambiwa yuko sauz!Huyo JK sidhani kama unamtakia mema, maana ataondolewa na wananchi kabla hajamaliza hata mwaka mmoja wa nyongeza. Kwa nini hutaki kuamini kwamba duniani hakujawahi kutokea raisi mbovu kama JK?
Teh! Teh! Teh! Mfa maji haishi kutapatapa mkuu!!!Ni mwadilifu, mcha mungu,anatupenda (kaoa kiislam...cjuw idad ya wake).... so siyo muhuni.akivaa suti, is so cute!ishu zingine, ni mattatzo ya Mungu......umeme, aaaah,iko sku mtasahau.nchi ya amani,hata kugoma hatuwez...........