Aisee! Hebu njo huku mpwapwa nitakugharamia kinywaji kimoja ila nauli juu yako.
Hizo muviz zilizidi. Nashukuru stelingi mkuu umeamka.
kupendwa hadharani kuna raha yake.....sema ukweli umwaibishe shetani hukufurahia kuona umerushiwa thread???mie nasubiri klorokwini anianzishie!:bored::bored::bored::tape:
Wapendwa habari za jioni.!!!
Hapa kuna kitu nimekigundua JF especially MMU.
Watu tulitoa ushauri wa kuanzishwa jukwaa la kutafuta wachumba maana hizo thread zilizidi sana na kuudhi kwa kiasi fulani hivi. watu wakaelewa na kasi ikapungua kabisa.
Sasa naona kuna jipya limeibuka tena "Namzimia DA", "Naizimia Avatar yake", "Napenda anavyochangangia" nk (Kwa wale waliowahi kunianzishia thread samahani sana mnisamehe sina nia mbaya bali kuwekana sawa)
Jamani kama unampenda mtu, comments, avatar, na mengine mengi yake kindly hebu mtumie PM basi ili kupunguza thread zisizotaka ushauri.
Tuwe na zile za kuombana ushauri na kusaidiana wapendwa katika mahusiano, mapenzi na urafiki .
Samahani kama nimewakwaza wale wote mliowahi kuanzisha thread kama hizi. Ila jamani tuambizane ka ukweli saa nyingine..................
Kind Regards
Dena Amsi
dena nimekuzimia wewe,avatar yako na sredi yako,niPM basi ili nikupe details...
Wanapenda Avatar + kilemba chake
Mbaya zaidi sidhani kama watu wenyewe hua wanakua wakweli...ni kama kampeni ya kutafuta umaarufu.Maana mtu umezimia michango yake kweli alafu hata siku moja hujawahi kumPieM umjulishe unakuja kumwaga habari jamvini.DA hongera kwakusema!Wandugu hopefully mmesikia na kuelewa!
Halafu wewe acha utani karibu na ukweli unajua niko ving'awe kwa sasa wewe uko mpwapwa gani.............
Kinywaji andaa valuu chupa kadhaaa.......................................
Mbaya zaidi sidhani kama watu wenyewe hua wanakua wakweli...ni kama kampeni ya kutafuta umaarufu.Maana mtu umezimia michango yake kweli alafu hata siku moja hujawahi kumPieM umjulishe unakuja kumwaga habari jamvini.DA hongera kwakusema!Wandugu hopefully mmesikia na kuelewa!
Lizzy Ushekh Yahya umeuanza lini????? Hiyo bluu hiyooooo