Mabadiliko Mawaziri tuliingizwa Kingi

Mabadiliko Mawaziri tuliingizwa Kingi

Mabadiliko yaliyofanywa na Rais Samia kwenye baraza la Mawaziri.Ni kiini macho.
Uhalisia ni kwamba Rais Samia alikusudia kujisimika na kujiimarisha kwa mbinu zozote ili kumuweka mkwewe kwenye Tamisemi kwa mpango rasmi kujipanga na uchaguzi mkuu.
Sababu huyo ni mtiifu na mwanafamilia hivyo anaaminika pia hata Msoga.
Rais amemuweka pale nwanafamilia ili kuhakikisha hamuangushi mama mkwe.soon tutaanza kuona mikeka mipya ya ma - RC's na ma- DC's kwa kutegemea nani yuko kundi lipi na mlengo upi ndani ya CCM.

Makamba kapelekwa Mambo ya nje kwa mpango maalumu.Despite kwamba Kikwete na kundi lao wanataka kumuandaa na kuweka mtu wa kulinda na kuyaendeleza maslahi yao ifikapo 2030.
Endapo watakuwa wameponyoka na kupora tena 2025.
Pili Makamba kawekwa pale sababu ndiyo wizara pekee ambayo waziri anasafiri mara nyingi kwenda nje kimajukumu tofauti na wizara zingine.

Ieweke kwamba Makamba kule Tanesco na kwingineko wizarani "Nishati" ameingiza serikali mikataba mingi mikubwa yenye utata, na tena yenye kugharimu maabilioni kama sio trilioni.
Hata kwenye Bwawa la Nyerere kuna harufu kubwa ya ufisadi.

Sasa basi...Kwa kigezo hicho itakuwa rahisi Makamba kufanya monitoring muda wote endapo itahitajika kurekebisha hitilafu vaina ya kundi lao na wapewa tender zenye rushwa huko nje hususan India.
Ni rahisi kwake Makamba kukimbia nje huko na kuyatatua juu kwa juu na kisha kurudi kwa kigezo cha uwaziri mambo ya nje.

Nashauri kama kweli bunge lina wazalendo ni wakati sasa Serikali kupitia Bunge iunde tume huru na ikachunguze madudu ya Tanesco na yatolewe hadharani.
Badala ya kumuuzia Biteko mbuzi kwenye gunia.
Tunachezewa mno.
Sakata la mafuta liwe kianzio!
Nawakilisha!
Another proof kwa nini CCM haifai kushika hatamu za nchi hii tena
 
U rais ni mtamu sana asikwambie mtu, kuna mikataba mingi sana ameshaisani hasa na waarabu hawezi kuwaacha hewani atagombea ili kumaliza mission, ili amsimike mtu wake wa kumlinda
Amejivua nguo kwa kiasi kikubwa sana kwa kuwakumbatia waarabu wa DPW, sasa anajua haaminiki tena nae ndio ameamua liwalo na liwe, anatukomoa wazi wazi.
 
Sena una imani naye siyo ''tuna''. Ungejua navyochukiwa mitaani basi usingesema ''tuna''
Hao wanao komenti hivyo sijui wana Imani ba Samia!
Ndio hao walioshika marefu ya Kamba.
Uwepo wa Samia madarakani ndio ujazo zaidi kwenye familia na akaunti zao binafsi.
 
Mitaa gani hiyo? Kote nakopita watu wanamsifia mama
Kwa sababu kote unakoenda ni kuwatembelea wezi wenzako na kupongezana.
Sisi tuko site nchi nzima kuanzia Daladala,kahawani;Shoe Shine hadi hospitali za kata na wilaya na kwenye mabenchi ya mbao chini ya miti yakiitwa Ofisi za walimu
 
Hii sababu uliyoitoa nakubaliana nawe, kuna wajanja wengi serikalini kwa sasa wanafaidi matunda ya ujinga wa Samia, hao lazima wapige kelele za mama mitano tena.
Wanampangia safari kwa mikupuo ilimradi asikae na kutulia ofisini na kukagua mafaili kwa ufasaha!
 
Mabadiliko yaliyofanywa na Rais Samia kwenye baraza la Mawaziri.Ni kiini macho.

Uhalisia ni kwamba Rais Samia alikusudia kujisimika na kujiimarisha kwa mbinu zozote ili kumuweka mkwewe kwenye Tamisemi kwa mpango rasmi kujipanga na uchaguzi mkuu.

Sababu huyo ni mtiifu na mwanafamilia hivyo anaaminika pia hata Msoga.

Rais amemuweka pale nwanafamilia ili kuhakikisha hamuangushi mama mkwe.soon tutaanza kuona mikeka mipya ya ma - RC's na ma- DC's kwa kutegemea nani yuko kundi lipi na mlengo upi ndani ya CCM.

Makamba kapelekwa Mambo ya nje kwa mpango maalumu.Despite kwamba Kikwete na kundi lao wanataka kumuandaa na kuweka mtu wa kulinda na kuyaendeleza maslahi yao ifikapo 2030.

Endapo watakuwa wameponyoka na kupora tena 2025.

Pili Makamba kawekwa pale sababu ndiyo wizara pekee ambayo waziri anasafiri mara nyingi kwenda nje kimajukumu tofauti na wizara zingine.

Ieweke kwamba Makamba kule Tanesco na kwingineko wizarani "Nishati" ameingiza serikali mikataba mingi mikubwa yenye utata, na tena yenye kugharimu maabilioni kama sio trilioni.

Hata kwenye Bwawa la Nyerere kuna harufu kubwa ya ufisadi.

Sasa basi...Kwa kigezo hicho itakuwa rahisi Makamba kufanya monitoring muda wote endapo itahitajika kurekebisha hitilafu vaina ya kundi lao na wapewa tender zenye rushwa huko nje hususan India.

Ni rahisi kwake Makamba kukimbia nje huko na kuyatatua juu kwa juu na kisha kurudi kwa kigezo cha uwaziri mambo ya nje.

Nashauri kama kweli bunge lina wazalendo ni wakati sasa Serikali kupitia Bunge iunde tume huru na ikachunguze madudu ya Tanesco na yatolewe hadharani.

Badala ya kumuuzia Biteko mbuzi kwenye gunia.

Tunachezewa mno.

Sakata la mafuta liwe kianzio

Nawakilisha!
🗑️🗑️🗑️🗑️ Dustin zimejaa labda zije gari taka kubeba huu uchafu
 
Ugatuzi wa madaraka ndio utaleta mabadiliko halisi
 
Hayo ni Maono,,,Fikra na mtazamo wako wewe binafsi na katika hayo Maono,,fikra na mtazamo kila binadamu ameumbwa na yake binafsi hatujawahi,,haiwi na haitakuja kuwa tukafanana katika hayo!!Kamwe!!
 
Haters mna kazi, haki ya Mungu mtasahau hata kubadilisha vitambaa mlivyobleedia kwa kuwahi kuzusha na kusambaza chuki zenu!

Go mama Samia, gooooooo! Taifa linahitaji maendeleo hili.
 
Maono ni kitu fikirika, mimi siongei ufikirika bali naongea yaliyokwisha tokea na yako hadharani ila hulazimishwi kuyaamini.
Bali endelea kuamini vile kichwa chako kinavyokutuna kuamua.
Uko sahihi.
 
Yapi hayo Maendeleo tangu ameingia kazini?
Maendeleo ya kukopa na kuleta ziibiwe?

Maendeleo yapi Dawa zikiwa hoi Mahospitalini?

Maendeleo yapi ilhali hata miradi ya kimkakati ya Marehemu JPM hakuna hata mmoja umekamilika?

Maendeleo gani ya ubadhirifu kuanzia mlangoni Ikulu hadi Tamisemi nchi nzima bila hatua stahiki kuchukuliwa?

Unasema Hater's kwani pale Ikulu ni ofisi binafsi kwamba tunaona wivu na sisi tungekuwa na yetu?

Kwamba hujui Samia pale ni mpita njia aloyewekwa kwa dhamana ya wananchi?

Wewe unawaza ki-zimkazi zaidi.
Hujitambuwi wewe na kundi lako!
 
Kila nikiziona picha hizi,natafakari sana bila majibu.
2%20-%202022-02-26T154251.773.jpg
FMy3TTGXoAsF4GW.jpg
 
Maono ni kitu fikirika, mimi siongei ufikirika bali naongea yaliyokwisha tokea na yako hadharani ila hulazimishwi kuyaamini.
Bali endelea kuamini vile kichwa chako kinavyokutuna kuamua.
Uko sahihi.
Na nawewe umeamua kama ulivyoamua na uko sahihi pia,,Kwa hiyo usilazimishe watu waamue Kama ulivyo amua kila MTU aamue vile anavyo amua hakuna ulazima wa kilazimishana maamuzi!!
 
Ni wapi na kipengele kipi nimelazimisha katika andiko langu???
 
Yapi hayo Maendeleo tangu ameingia kazini?
Maendeleo ya kukopa na kuleta ziibiwe?

Maendeleo yapi Dawa zikiwa hoi Mahospitalini?

Maendeleo yapi ilhali hata miradi ya kimkakati ya Marehemu JPM hakuna hata mmoja umekamilika?

Maendeleo gani ya ubadhirifu kuanzia mlangoni Ikulu hadi Tamisemi nchi nzima bila hatua stahiki kuchukuliwa?

Unasema Hater's kwani pale Ikulu ni ofisi binafsi kwamba tunaona wivu na sisi tungekuwa na yetu?

Kwamba hujui Samia pale ni mpita njia aloyewekwa kwa dhamana ya wananchi?

Wewe unawaza ki-zimkazi zaidi.
Hujitambuwi wewe na kundi lako!
Kabisa mkuu?!!!!

unalisema hilo ukiwa ghauna hata chembe ya aibu?!!!!
😀😀😀
 
Samia akigombea atapata kirahisi kabisa, lakini siyo kihalali. Atapata kwa kuiba na watu waliomzunguka wako desperate kweli kweli agombee tena kwani ''wanakula kilaini'' sana chini ya uongozi wake. Na mbaya zaidi wako tayari kufanya chochote ili apite siyo kwa sababu wanampenda, la hasha. Ni kwa sababu wanapiga fedha ndefu bila kuulizwa. Ikiwa ataamua kutogombea 2025 basi wameweka Makamba kama plan B. Alipewa nishati ili apige fedha ndefu ya kuusaka urais na baada ya kuzichuma amelekwa mambo ya nje ili kupata uzoefu. Pona yetu ni litokee la kutokea na Babu Jinga Mpango achukuwe kiti.
Uko sawa
 
Back
Top Bottom