kisumbusi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 982
- 1,224
Chama chake hakijali hiloKitu kingine, hivi kwanini mnamuona Makamba ana nafasi kubwa sana ya kuwa Rais wa Tanzania mbele ya safari?
Naona wengi wenu kigezo mnachotumia ni hicho cha "uwaziri wa mambo ya nje" mbona hata Membe nae alipita huko lakini mwisho wa siku akaangukia pua?
Hata kama mwenyekiti wa CCM anakuwa na nguvu kubwa kwenye maamuzi ya mwisho, hasa kuteua mgombea, lakini binafsi naona kuna mambo mengine makubwa zaidi lazima yazingatiwe ambayo Makamba hana..
- His past and present record; huyu anaonekana wazi ni fisadi, na sio fisadi akiwa serikalini pekee, ameshakuwa fisadi tangu shuleni aliposoma, hafai.
- Utendaji mbovu; wizara karibia zote alizowahi kupelekwa hajawahi ku deliver chochote cha maana, ni mtu wa showoff zaidi anayesubiri kubebwa na jina la baba yake, na marafiki wa familia yao.
- Kukubalika; hapa ndio hamna kitu kabisa, Makamba hata kama wakilazimisha kumpitisha watakuwa na kazi ya kumuibia kura kwa nguvu sana, hii ni tofauti na wakati wa Kikwete kwa mfano, ambaye tayari alikuwa akikubalika kwa asilimia kubwa ya watanganyika.
- Egoism; kujitutumua kutaka aonekane anajua wakati kiuhalisia hajui chochote, hili nalo linachangia sana kumshusha miongoni wa watanganyika.
Ndo wanapenda watu wa namna hy