usser
JF-Expert Member
- Sep 25, 2015
- 13,977
- 14,103
Hee hee itakua vzr huendaNikufundishe hapa jukwaani?
Hata Saturday nkaingia kwa jikoo
Kujarbu twende kaz madam
[Color= yellow]Triple A[/color]
Hee hee itakua vzr huendaNikufundishe hapa jukwaani?
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna siku mother alisafiri tukabaki na mshua ilikuwa hatari. Tukalilia wali, mshua akazama jikoni. Mhmm kitu kilivokuja mezani balaaa.
Umeona eeeKweli aisee!!uschokizoe ndo
Unakiona tu kigumu
[Color= yellow]Triple A[/color]
Wewe kichwa kichafu kweli haya jilipueMzazi kitu chapati aiseeh hii theory zake zote kichwani nimezipiga kinoma kwa Bi Mkubwa mara nyingi alikuwa ananianzishia kuchanganya madude mi namalizia kuzisukuma kwenye kibao chake na kuziweka kwa moto.
Kila day nataka kujilipua kigetogeto nikamate ngano toka mwanzo hadi mwisho.
Ila day tu soon nitajilipua mzazi.
Ok, kwa leo nitakufundisha kupika tambi za nazi.Hee hee itakua vzr huenda
Hata Saturday nkaingia kwa jikoo
Kujarbu twende kaz madam
[Color= yellow]Triple A[/color]
Kupika mboga na kumix Nazi kwanza kwenye kukuna Nazi hapo humkalishi m2 kwenye kibao
Sent using Jamii Forums mobile app
napenda sana pilau lakini shughuli yake kupika kigetogeto sithubutuNina imani mabachela tuko wengi sana humu.
Katika suala la kupika na kuosha vyombo huwa ni habari ingine. Vipi wewe mkuu ni msosi gani kuupika au kuuandaa huwa unakupa mawazo sana japo unaupenda. Na ukiula mahala unahisi umekosewa kupika sio kama ungeupika japo hujawahi kuutest geto.
Mimi bana WALI naupenda ila kuuandaa hadi utoke ni hatari sana. Halafu nikiwa nakula kitaa huwa mwepesi sana kuwalaumu wahudumu wali haujaiva au wamepika bokoboko au una mawe.
Wewe je msela wa geto nini kinasumbua jikoni?
ni msala jombaa unanikumbusha siku nilipika mboga nikashindwa kula nikaimwaga asee hapo ndio utaona umuhimu wa jinsia keKuna siku mother alisafiri tukabaki na mshua ilikuwa hatari. Tukalilia wali, mshua akazama jikoni. Mhmm kitu kilivokuja mezani balaaa.
Tupo vipi unatoa huduma gan ili tusiwepo?hahaha mabachela mpo?????????