Nikihesabu 300 nilizoacha baa fulani kwa wiki hii nazani zinafika elf ishirini.
teh teh tih hyo balaaBora hata hao wanaochukua 300!Ukienda Rose Garden Dsm,ukiagiza Safari Lager yako na ukatoa 10,000 unarudishiwa sh 5,000 unaambiwa bia ni 5000,ukitishia uitiwe meneja basi wanakurudishia 3000 wanasema samahani tulisahau!
Siku hizi kila ukienda baa ukatoa elf kumi ukaagiza heinekein au bia yoyote utaletewa chenji then utaskia sina mia tatu. Ukiuliza counter kama unadai chenji utaambiwa hapana. Nathani hii ndo TIP ya kibabe.
Mkuu ni kweli kbs, ila kama vipi hiyo 300 unaagiza fegi!!
Ila ni afadhali ya bar tunajua kipato chao ni cha chini,
kuna benki moja kubwa sana hapa jijini tena ni ya kimataifa nao wana mchezo huo, sijui ndo utaratibu wao!? Wananikera kama nini..!!
hiyo benki ukiagiza bia chenji hawarudishi?Mkuu ni kweli kbs, ila kama vipi hiyo 300 unaagiza fegi!!
Ila ni afadhali ya bar tunajua kipato chao ni cha chini,
kuna benki moja kubwa sana hapa jijini tena ni ya kimataifa nao wana mchezo huo, sijui ndo utaratibu wao!? Wananikera kama nini..!!
Siku hizi kila ukienda baa ukatoa elf kumi ukaagiza heinekein au bia yoyote utaletewa chenji then utaskia sina mia tatu. Ukiuliza counter kama unadai chenji utaambiwa hapana. Nathani hii ndo TIP ya kibabe.
hiyo benki ukiagiza bia chenji hawarudishi?
Itaje hiyo benki tuijue.
Mi niliwahi ambiwa hawana 600Ni pale Posta, iko jirani sana na Umoja House.
Hivi kuna baa bado inauza bia elf 2?Bora hata hao wanaochukua 300!Ukienda Rose Garden Dsm,ukiagiza Safari Lager yako na ukatoa 10,000 unarudishiwa sh 5,000 unaambiwa bia ni 5000,ukitishia uitiwe meneja basi wanakurudishia 3000 wanasema samahani tulisahau!
Mi niliwahi ambiwa hawana 600