Yaaap!Thnx jamaa, Ni pale pale ninaposema mimi au..?
Yaaap!Thnx jamaa, Ni pale pale ninaposema mimi au..?
zipo nyingi tu.Hivi kuna baa bado inauza bia elf 2?
Mi niliwahi ambiwa hawana 600
siku ingine na wewe unakuja ukiwa huna hela , unagonga then unasepa, mbona hulipi unamwambia nina dolaNikihesabu 300 nilizoacha baa fulani kwa wiki hii nazani zinafika elf ishirini.
Ni pale Posta, iko jirani sana na Umoja House.