Maazimio ya kamati kuu ya CHADEMA

Maazimio ya kamati kuu ya CHADEMA

Nayaiona mafisiem ya lumumba yalivyovamia uzi huu. Mate yanawachuruzika kutaka kujua maazimio ya kamati kuu ya cdm.
Poleni sana. Magufail mambo yanamdodea huko kwa omba omba wa nchi hii. Kwa nini msimfuatilie huyo bwana mkubwa wenu?
 
Unataka maazimio gani wakati mmeshapewa tamko la kususia michezo ya wabunge
Lile azimio la kutoa mawakili wa kumsaidia Mange kufunguliwa tena akaunti yake lilipingwa vikali na lowassa,likafa kibudu
Naona mzee bado ana hasira nae kwa matusi mazito mazito aliyomtukana kuelekea uteuzi wa ndani wa mgombea urais kupitia CCM.hata mimi nisingemtetea.kwani kabadilika nini na lini hadi aje leo awe mzuri!?.ka puuz sana kale ka pare kanakotembelea mikono!
 
Hivi yule ...[HASHTAG]#bensonmramba[/HASHTAG] aliyeleta habari kuhusu Lema n'a Jacob anajisikiaje sahivi...

Ova
Majiu mengine hayanaga aibu Kiongozi! Jamaa limejilengesha kweli kwa magamba lakini limekosa bei hata bure wamegoma kuchukua. Ukiona hadi fisi kaacha mzoga ujue ni kimeta kweli kweli.
 
We hujanunulika bado

Ova



nimeandika hadi tangazo...na bei nimewapunguzia,na juzi nimeongea na polePole 'face to face'

sasa nawapa na ofa ya familia
 
Maazimio ni kuwataka Wabunge wao wajitoe kwny Timu ya Netball ya Timu ya Bunge!

Hata Kipovu anajua kabisa Jahazi la Chagadema limetoboka Tanga lake, uelekeo wake ni uelekeo wa Upepo
Cc wasira
 
Lema wale wavulana aliowataja mbona hawaondoki
 
Pamoja na usalama wa taifa zaidi ya 50 kumwagwa kwenye hoteli ya Regency Park ili kujua kinachojaliwa bado waliishia kueneza propaganda za Lema na Jacob kupigana.

Kwa heri Patrobas Kitambi na team yako.

Kweli wewe Quinine imekupofusha. Unafikiri, utendaji kazi wa idara hiyo ni wakuona kwa macho yako ya nyama. Unajidanganya.
 
Kama hadi sasa bado hakuna tetesi wala fununu ya kilichojadiliwa basi nimeamini mamluki na wasaliti wameanza kupungua ndani ya chama

Pamoja na usalama wa taifa zaidi ya 50 kumwagwa kwenye hoteli ya Regency Park ili kujua kinachojaliwa bado waliishia kueneza propaganda za Lema na Jacob kupigana.

Kwa heri Patrobas Kitambi na team yako.
......
.....hata sisimizi akipita TUTAMSIKIA
 
Unataka maazimio gani wakati mmeshapewa tamko la kususia michezo ya wabunge
Lile azimio la kutoa mawakili wa kumsaidia Mange kufunguliwa tena akaunti yake lilipingwa vikali na lowassa,likafa kibudu
Mambo ya cdm hayawahusu jamani

Ova
 
Mko makini kufuatilia ya CHADEMA mmeacha kiki za Mkiti wenu huko Dodoma kwa vile mnajua hana jipya zaidi ya kupokea makapi toka upinzani.


Ukitamka neno makapi namkumbuka Mheshimiwa Daktari Slaa
 
Back
Top Bottom