Maazimio ya kamati kuu ya CHADEMA

Maazimio ya kamati kuu ya CHADEMA

If you are really stronger, why would wish your enemy to die???
 
MWAMBIENI DADY AACHE FUTUHI
Kama anafanya kazi njema kwanini anahangaika na kusema nawataka kwa gharama yeyote?Futuhi hiyo
 
Nimesikitika sana kwa pambano hilo kuisha bila TKO!
 
Kama hadi sasa bado hakuna tetesi wala fununu ya kilichojadiliwa basi nimeamini mamluki na wasaliti wameanza kupungua ndani ya chama.

Pamoja na usalama wa taifa zaidi ya 50 kumwagwa kwenye hoteli ya Regency Park ili kujua kinachojaliwa bado waliishia kueneza propaganda za Lema na Jacob kupigana.

Kwa heri Patrobas Kitambi na team yako.
Chadema imeweka "Clean sheet"
 
Ngoja nianze kumwaga kamati kuu imeteua watu wawili kuingia kamati kuu nyalandu na ole sosopi.Pili Chadema imejiltoa haitashiriki uchaguzi wa marudio.Imewapa onyo wabunge watatu na kuwatishia kuwafukuza chama.Imewataka lema na meya Jakob waende kukanusha kupigana kwao .kikao cha Jana kilivunjika bila makubaliano kwenye mambo kadhaa siweki hapa ila Jana kulikuwa cha moto hasa.Wanaendelea kuwashana Leo.Jana kuficha aibu ndio walikuja na kale katamko ka kutaka wabunge wajitoe michezo EALA .Kuna makundi Ndani ya Chadema yanavutana kikaoni kuna kundi LA slaa,Lowasa na mbowe.Wana mvutano mkubwa kikaoni.Sumaye pia naye ana kikundi chake ambacho kinajidai hakina upande kikaoni
Wazee wa tunguri mnashida
Pathetic, ndio mmefikia kujadili hoja hizi na kujisifia. Hatari sana!
Death is hovering over chadema.
 
Ngoja nianze kumwaga kamati kuu imeteua watu wawili kuingia kamati kuu nyalandu na ole sosopi.Pili Chadema imejiltoa haitashiriki uchaguzi wa marudio.Imewapa onyo wabunge watatu na kuwatishia kuwafukuza chama.Imewataka lema na meya Jakob waende kukanusha kupigana kwao .kikao cha Jana kilivunjika bila makubaliano kwenye mambo kadhaa siweki hapa ila Jana kulikuwa cha moto hasa.Wanaendelea kuwashana Leo.Jana kuficha aibu ndio walikuja na kale katamko ka kutaka wabunge wajitoe michezo EALA .Kuna makundi Ndani ya Chadema yanavutana kikaoni kuna kundi LA slaa,Lowasa na mbowe.Wana mvutano mkubwa kikaoni.Sumaye pia naye ana kikundi chake ambacho kinajidai hakina upande kikaoni
Yehodaya ndiye sangoma wa ccm, amekaa wazi mchana njia panda kupiga ramli. Utakufa mjinga wewe.
 
Itakuwa Nyalandu ameshindwa kufanya kazi yake aliyotumwa...,huyu jamaa kila task anayopewa anafeli sijui ana mikosi.
Hamshindi Gufuli na bashite, hakuna walilolianzisha likafanikiwa.
 
Kimepoteza kwa nguvu ya kuminywa na kupigwa kila kukicha.
Zamani kilikuwa kikiminywa ndo kinazidi kuwa relevant kwa UMMA.
Siku hizi Tangu tuwawezeshe CCM kuweka wagombea wawili wa URAIS 2015 hata UMMA hauna interest na chama chetu.
 
Kama hadi sasa bado hakuna tetesi wala fununu ya kilichojadiliwa basi nimeamini mamluki na wasaliti wameanza kupungua ndani ya chama.

Pamoja na usalama wa taifa zaidi ya 50 kumwagwa kwenye hoteli ya Regency Park ili kujua kinachojaliwa bado waliishia kueneza propaganda za Lema na Jacob kupigana.

Kwa heri Patrobas Kitambi na team yako.
Hiyo inamaanisha kamati kuu imekuwa bubu...imepigwa na butwaa...imepata ganzi
 
Back
Top Bottom