Alexandry Nemesi
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,508
- 590
Maazimio Kamati kuu CHADEMA yatatolewa moja kwa moja kuanzia saa tano kupitia Azam Tv.
Ngoja nizime kabisa TV yangu, hatuna muda wa kusikiliza kelele za wanafiki. Sasa ni muda wa kazi tu!Maazimio Kamati kuu CHADEMA yatatolewa moja kwa moja kuanzia saa tano kupitia Azam Tv.
Gamba la kijani kaziniNgoja nizime kabisa TV yangu, hatuna muda wa kusikiliza kelele za wanafiki. Sasa ni muda wa kazi tu!
Hahahaha Mwisho wa ubaya.....Ngoja nizime kabisa TV yangu, hatuna muda wa kusikiliza kelele za wanafiki. Sasa ni muda wa kazi tu!
Hahahah hiyo tv unazima kusikia chadema wanataka kuongea acha upuuzi,alafu unasema muda wa kaziNgoja nizime kabisa TV yangu, hatuna muda wa kusikiliza kelele za wanafiki. Sasa ni muda wa kazi tu!
Ngoja nizime kabisa TV yangu, hatuna muda wa kusikiliza kelele za wanafiki. Sasa ni muda wa kazi tu!
Unazima TV muda huu wanaume wanaongea, wakati ulikuwa ukitizama catoon network.Gamba la kijani kazini
watz bwana,marekani wangekuwa na upinzani kama huu sijui ingekuajeLumumba fc huwa wakisikia CHADEMA live, huwa wanatamani hata kulia. Ngoja tuone!
Ni kama mbwa anayebweka nje ya fensiHaya! Mtuambie wametoa tamko gani
Kwani haupo? tena huko ni zaidi ya huu.watz bwana,marekani wangekuwa na upinzani kama huu sijui ingekuaje
Chama cha matamko,na maazimio!Maazimio Kamati kuu CHADEMA yatatolewa moja kwa moja kuanzia saa tano kupitia Azam Tv.
watz bwana,marekani wangekuwa na upinzani kama huu sijui ingekuaje
TunashukuruMaazimio Kamati kuu CHADEMA yatatolewa moja kwa moja kuanzia saa tano kupitia Azam Tv.