samahani alikuwepo kiongozi wa kiislam ktk mazishi hayo alietoa hotuba?
Kwani Bibilia ina watu fulani wa kuitumia? Na sio kwa watu na Mataifa yote?
Hakuwepo unasemaje........ next question.samahani alikuwepo kiongozi wa kiislam ktk mazishi hayo alietoa hotuba?
samahani alikuwepo kiongozi wa kiislam ktk mazishi hayo alietoa hotuba?
Biblia sio kitabu cha hadithi cha kuchezewa na kila mtu, watu wehu hamtakiwi kukitumia.Kwani Bibilia ina watu fulani wa kuitumia? Na sio kwa watu na Mataifa yote?
wakristo, una swali lingine?
Umeshajibiwa ni cha wakristo una jingine.Kwani Wakiristo ndio kina nani? Slaa yumo? Mbowe yumo?
Na wapi kwenye Bibilia iliposema "hiki ni kitabu cha wakiristo"?
Ukishindwa kujibu, kaa kimya! SHUT UP.
Kwani Bibilia ina watu fulani wa kuitumia? Na sio kwa watu na Mataifa yote?
Kwani Bibilia ina watu fulani wa kuitumia? Na sio kwa watu na Mataifa yote?
Ndo hayo Maaskofu wanakukatazeni !!!kwa akili ndogo uliyo nayo kujua watu wa mataifa kwa biblical context wewe huwezi elewa!! waingereza wanasema hivi'' no research no right to speak mimi naongeza no right to comment''you cannot be an authority to everything when it comes to intelectual thinking be it science or religious!!! nimesoma majibu yako kuhusu malipo ya DOWANS ulionekana kujibu kila hoja mimi nikafikiri wewe ni lawyer tena aliye specialize ktk international businnes leo hii unataka kuwa theologist yaani unaweza kujibu Maaskofu kwa kutumia Biblia,I think that is pathetic you cannot know it all!! Makamba type!!! Maneno mengi akili kidogo , tafakari kabla ujasema na jiulize je do I have enough knowledge on the subject matter at hand, If not keep your mouth shut!! there is no harm!! and your will have done a great service to you as a person and your readers . It is simply some piece of advice that is if your brain is still intact.
Sorry if I offended you.
Kwani Wakiristo ndio kina nani? Slaa yumo? Mbowe yumo?
Na wapi kwenye Bibilia iliposema "hiki ni kitabu cha wakiristo"?
Ukishindwa kujibu, kaa kimya! SHUT UP.
Maaskofu wa madhehebu ya Kikristu mkoani Arusha wamemkemea Katibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Yusuph Makamba, kwa kuitumia Biblia takatifu kuhalalisha uovu; wakamtaka aache tabia hiyo mara moja.
Source: Tanzania Daima
well said!!! manake hii ni laana- Ukiona viongozi wa taifa wanaanza ku-quote Biblia badala ya Katiba ya Jamhuri, katika kuhalalisha vitendo vya serikali maana yake ni moja tu kwamba hao viongozi na serikali nzima ni mufilisi, wanahitaji kuondolewa mara moja!
William.
WeWe W. J. Malecela nilifikiri una akili sana kutokana na jina lako< kumbe una pumba kumzidi yule orijino, ambae alig'ania kugombea ubunge mpaka akakataliwa kwenye kura za maoni. Si angestaafu toka alivyoachishwa kazi na Nyerere? hana haya, hata huyo mkewe mpya kakubalika, kuliko yeye.