Maaskofu wamezibwa Midomo!

Maaskofu wamezibwa Midomo!

Mlengo wa Kati

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2011
Posts
2,730
Reaction score
492
Miezi mitatu iliyopita Tanzania ilishuhudia siasa za aina yake kutoka kwa Maaskofu hasa wa Kanisa Katoliki na Mapdre wake kutoa matamko kila siku. Ilikua ni vigumu siku ipite bila Kusikia Padre huyu wa TEC kasema hiki, mara wengine wakisema hawaogopi kufa wataendelea kusema tu.

Ilikua ni bandika bandua kwa matamko. Kuna watu wenye busara walihoji juu ya Viongozi wa dini kujiingiza moja kwa moja kwenye siasa na wengine waka ambiwa wavue majoho waingie kwenye siasa.

Kama haitoshi nao mashehe waliendelea kutoa matamko kupinga kinachosemwa na Maaskofu basi ikawa patashika kila kona ya Nchi. Wataalamu wa Masuala ya siasa wanasema naona hasira nyingi zilitokea kwenye uchaguzi wa Mwaka 2010 kwani nao walikua na Wagombea wao maeneo mbalimbali sasa hasira zimeshuka wameendelea na kazi yao ya kulea waumini wao.

Binafsi nawapa Hongera viongozi wote wa dini Maaskofu, mapdre na Mashekhe kwa kuamua sasa kufuata mambo ya kazi yenu na kuwaachia wanasiasa mambo yao. Hongera sana TEC na Pengo kwa kusikia maoni ya wadau mbalimbali.

Hongereni Maaskofu wa Arusha kwa kuamua kutulia. Tuna hitaji Tanzania ya Watanzania isiyokuwa na Mashinikizo ya Viongozi wa dini mbalimbali. Basi kila mtu atimize wajibu wake iwe kwa mwanasiasa, mkulima, mfanyakazi na Viongozi wa Serikali.

Tunahitaji Tanzania yenye amani na Tanzania yenye kutofautiana kwa hoja na sio misingi ya Ubaguzi wa Kidini na Makabila.

Viva Tanzania.
 
Imetulia sanaaaaaa! Hongera sana! Tungepata hoja kama hizi JF ingekuwa hazina ya Fikra!
 
Miezi mitatu iliyopita Tanzania ilishuhudia siasa za aina yake kutoka kwa Maaskofu hasa wa Kanisa Katoliki na Mapdre wake kutoa matamko kila siku! Ilikua ni vigumu siku ipite bila Kusikia Padre huyu wa TEC kasema hiki,mara wengine wakisema hawaogopi kufa wataendelea kusema tu! Ilikua ni bandika bandua kwa matamko! Kuna watu wenye busara walihoji juu ya Viongozi wa dini kujiingiza moja kwa moja kwenye siasa na wengine waka ambiwa wavue majoho waingie kwenye siasa! Kama haitoshi nao mashehe waliendelea kutoa matamko kupinga kinachosemwa na Maaskofu basi ikawa patashika kila kona ya Nchi! Wataalamu wa Masuala ya siasa wanasema naona hasira nyingi zilitokea kwenye uchaguzi wa Mwaka 2010 kwani nao walikua na Wagombea wao maeneo mbalimbali sasa hasira zimeshuka wameendelea na kazi yao ya kulea waumini wao! Binafsi nawapa Hongera viongozi wote wa dini Maaskofu,mapdre na Mashekhe kwa kuamua sasa kufuata mambo ya kazi yenu na kuwaachia wanasiasa mambo yao! Hongera sana TEC na Pengo kwa kusikia maoni ya wadau mbalimbali! Hongereni Maaskofu wa Arusha kwa kuamua kutulia! Tuna hitaji Tanzania ya Watanzania isiyokuwa na Mashinikizo ya Viongozi wa dini mbalimbali! Basi kila mtu atimize wajibu wake iwe kwa mwanasiasa,mkulima,mfanyakazi na Viongozi wa Serikali! Tunahitaji Tanzania yenye amani na Tanzania yenye kutofautiana kwa hoja na sio misingi ya Ubaguzi wa Kidini na Makabila! Viva Tanzania!

Naona katoliki wanawasumbua sana akili,wanamambo mengi ya maendeleo wanayafanya na sio kwenda kushinda Manzese kwenye mihadhara na kuichambua bible badala quran.
 
Miezi mitatu iliyopita Tanzania ilishuhudia siasa za aina yake kutoka kwa Maaskofu hasa wa Kanisa Katoliki na Mapdre wake kutoa matamko kila siku! Ilikua ni vigumu siku ipite bila Kusikia Padre huyu wa TEC kasema hiki,mara wengine wakisema hawaogopi kufa wataendelea kusema tu! Ilikua ni bandika bandua kwa matamko! Kuna watu wenye busara walihoji juu ya Viongozi wa dini kujiingiza moja kwa moja kwenye siasa na wengine waka ambiwa wavue majoho waingie kwenye siasa! Kama haitoshi nao mashehe waliendelea kutoa matamko kupinga kinachosemwa na Maaskofu basi ikawa patashika kila kona ya Nchi! Wataalamu wa Masuala ya siasa wanasema naona hasira nyingi zilitokea kwenye uchaguzi wa Mwaka 2010 kwani nao walikua na Wagombea wao maeneo mbalimbali sasa hasira zimeshuka wameendelea na kazi yao ya kulea waumini wao! Binafsi nawapa Hongera viongozi wote wa dini Maaskofu,mapdre na Mashekhe kwa kuamua sasa kufuata mambo ya kazi yenu na kuwaachia wanasiasa mambo yao! Hongera sana TEC na Pengo kwa kusikia maoni ya wadau mbalimbali! Hongereni Maaskofu wa Arusha kwa kuamua kutulia! Tuna hitaji Tanzania ya Watanzania isiyokuwa na Mashinikizo ya Viongozi wa dini mbalimbali! Basi kila mtu atimize wajibu wake iwe kwa mwanasiasa,mkulima,mfanyakazi na Viongozi wa Serikali! Tunahitaji Tanzania yenye amani na Tanzania yenye kutofautiana kwa hoja na sio misingi ya Ubaguzi wa Kidini na Makabila! Viva Tanzania!

Bullshitt!! Viongozi wa dini wanawaongoza watu ambao wanaweza kuwa-affected vibaya kama wanasiasa wasipoongoza vizuri nchi. Kwa mfano sasa hivi wananchi wanalia nna maisha magumu yanayotokana na mismanagemnt ya wanasiasa. Kwa hiyo viongozi wa dini hawawezi kukaa kimya wakati wananchi wanaumia, eti kwa vile wao siyo wanasiasa. Huyu John Marwa ni wewe mwenyewe umeji-support
 
serekali sasa imeingilia KKKT kupitia kwa fisadi askofu mdegela......na juzi kule mwanza kwa kanisa la mennonite tumeisoma muvu...katoliki ndio wazee wa discipline hakuna kuyumba....:mimba:
 
duh! kweli JF kuna watu wa kila aina
 
Miezi mitatu iliyopita Tanzania ilishuhudia siasa za aina yake kutoka kwa Maaskofu hasa wa Kanisa Katoliki na Mapdre wake kutoa matamko kila siku. Ilikua ni vigumu siku ipite bila Kusikia Padre huyu wa TEC kasema hiki, mara wengine wakisema hawaogopi kufa wataendelea kusema tu.

Ilikua ni bandika bandua kwa matamko. Kuna watu wenye busara walihoji juu ya Viongozi wa dini kujiingiza moja kwa moja kwenye siasa na wengine waka ambiwa wavue majoho waingie kwenye siasa.

Kama haitoshi nao mashehe waliendelea kutoa matamko kupinga kinachosemwa na Maaskofu basi ikawa patashika kila kona ya Nchi. Wataalamu wa Masuala ya siasa wanasema naona hasira nyingi zilitokea kwenye uchaguzi wa Mwaka 2010 kwani nao walikua na Wagombea wao maeneo mbalimbali sasa hasira zimeshuka wameendelea na kazi yao ya kulea waumini wao.

Binafsi nawapa Hongera viongozi wote wa dini Maaskofu, mapdre na Mashekhe kwa kuamua sasa kufuata mambo ya kazi yenu na kuwaachia wanasiasa mambo yao. Hongera sana TEC na Pengo kwa kusikia maoni ya wadau mbalimbali.

Hongereni Maaskofu wa Arusha kwa kuamua kutulia. Tuna hitaji Tanzania ya Watanzania isiyokuwa na Mashinikizo ya Viongozi wa dini mbalimbali. Basi kila mtu atimize wajibu wake iwe kwa mwanasiasa, mkulima, mfanyakazi na Viongozi wa Serikali.

Tunahitaji Tanzania yenye amani na Tanzania yenye kutofautiana kwa hoja na sio misingi ya Ubaguzi wa Kidini na Makabila.

Viva Tanzania.

Huwezi kuitenganisha siasa na dini ni vigumu kufanya hivyo.Mambo ya dini(Imani)huwa sipendi kuchangia Ila hapa nnapita tu
 
Nilitegemea utaonyesha nani/nini kimewaziba lakini sijaona.Pia kama umetegemea kuongelea viongozi wa dini kwa ujumla ungeonyesha hivyo kwenye kichwa cha habari lakini umeonyesha maasikofu kumbe kuna mashekhe pia.
 
Bullshitt!! Viongozi wa dini wanawaongoza watu ambao wanaweza kuwa-affected vibaya kama wanasiasa wasipoongoza vizuri nchi. Kwa mfano sasa hivi wananchi wanalia nna maisha magumu yanayotokana na mismanagemnt ya wanasiasa. Kwa hiyo viongozi wa dini hawawezi kukaa kimya wakati wananchi wanaumia, eti kwa vile wao siyo wanasiasa. Huyu John Marwa ni wewe mwenyewe umeji-support
Haa! Mrengo wa kati aka John Marwa? he he he! wazee wako kazini kwelikweli.
 
Bullshitt!! Viongozi wa dini wanawaongoza watu ambao wanaweza kuwa-affected vibaya kama wanasiasa wasipoongoza vizuri nchi. Kwa mfano sasa hivi wananchi wanalia nna maisha magumu yanayotokana na mismanagemnt ya wanasiasa. Kwa hiyo viongozi wa dini hawawezi kukaa kimya wakati wananchi wanaumia, eti kwa vile wao siyo wanasiasa. Huyu John Marwa ni wewe mwenyewe umeji-support

kwanini wakati wa uchaguzi? maisha magumu yalitokea wakati wa uchaguzi tu? ndo kusema sasahivi na kabla ya uchaguzi maisha yamekuwa/yalikuwa bora? au hawakuwepo kabla ya uchaguzi au walijisahau kwa miaka kadhaa?
 
Aluuuuuua kweli watz wamepevuka kumbe mlikua mnaliona hili! Wale waloingilia hz siasa niwale wadau waliokua wanategemea kukinga mikonooo.mana walisema kpnd hk cha awamu ya nne taasis zao zimezalilishwa kwahyo walitaka kumpa shavu mwana,wabongo wakawasoma.dah poa co ishu 2imarishe umoja wa kibongo kimtindo.sor kama haipo poa ndo maisha.
 
Watasema nini wakati walishapewa mabilioni hapo juzijuzi kupitia ''MOU'' sasa njaa kwisha kabsa.
 
kaka kwenye kusimikwa upadre hakosekani makanisani, AF KUNA ILE KI2 YA kupitisha mambo bila ushuru,hao makasisi wakichonga sana watageuziwa kibao make nanihii anavisasi ohooo
 
Back
Top Bottom