masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,408
- 14,113
Katika miaka ya hivi karibuni kumezuka kundi la populist preachers ambao wamejipa uaskofu bila kuwa na sifa ya cheo hicho.
Kuna wazee wa upako, maaskofu wa misukule, wale wa milima ya moto, hata wale wa saa ya ukombozi, kile tunachoona sasa ni udhalilishaji wa Ukristo na dini kwa ujumla. Wengi wao lengo ni moja tu; kujipatia kipato kupitia dini na mahubiri na hakuna kinginecho.
Mimi si Mkatoliki lakini kitendo cha "Askofu" Gwajima kumkashifu Askofu Pengo hadharani ni cha kulaaniwa. Kitendo hicho peke yake ndio kinaonyesha mioyo ya hawa maaskofu wa mitaani, wasio na usomi au wito wowote wanavyoshindwa kwa simple test ya uvumilivu na busara.
Gwajima amejifedhehesha!