New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,313
- 2,428
Aisee mod fanya utoe hii virus itatafuna nchi yetu..
Si kusema majukwaani tu waandae maombi ya kurudishiwa hizo Hospitali na Shule zao kimaandishi na taratibu husika.Ndo mana maaskofu wamesema warudishiwe hospt zao na shule zao, km serikali haitaki kurudisha basi iende kwa uma ikaeleze uzuri ma ubaya wa MoU
Sasa hizo pesa za MoU mnachukuwa za nini wakati hospital zenu za kanisa mnafanya biashara kama siyo ufisadi ni nini.
Na Mchungaji Mwanjali na Getrude Lwakatare je? Askofu Kulola nae mbona humsemi ni wa Chama gani?
Si kusema majukwaani tu waandae maombi ya kurudishiwa hizo Hospitali na Shule zao kimaandishi na taratibu husika.
Lakini wajue tu kuwa safari hii Watanzania wengine hawatakubali kuona Hospitali na Shule zilizojengwa wakati wa Mkoloni kwa pesa za Watanganyika wote vikiangukia mikononi mwa Wakristo peke yao! hata Makanisa yaliyojengwa wakati wa Mkoloni nayo tutahakisha tunagawana.
Umemsahau Mchungaji Lema eti naye alifungua Kanisa Mwanza akatafuna pesa akakimbilia Arusha kugombea ubunge.
kufikishwa mahakamani sawa je? unajua wameshtakiwa kwa makosa gani?, au unafikiri wakristu akili zao ni fupi tu wakimuona mtu anashuka kwenye karandinga anajua haki imetendeka? fuatilia mashtaka wlioshtakiwa nayo kisha urudi uendeleza usanii wenuKwa hiyo mapadri wote saizi wapo Chadema? Mbona watuhumiwa wote wa kesi za kuchoma makanisa wameishafikishwa mahakamani. Maaskofu wanataka serikali iwanyonge hadharani ndiyo wafurahi.
Kama viongozi wa ki dini nao wameanza mipasho ya kidini tutegemee nini?
Na misikiti iliyojengwa wakati wa mkoloni je?!Lakini wajue tu kuwa safari hii Watanzania wengine hawatakubali kuona Hospitali na Shule zilizojengwa wakati wa Mkoloni kwa pesa za Watanganyika wote vikiangukia mikononi mwa Wakristo peke yao! hata Makanisa yaliyojengwa wakati wa Mkoloni nayo tutahakisha tunagawana.
Tena zitapigiwa na riba ni pesa zetu sisi watanzania.
Unaijua Hindu Mandal Hospital? Unaijua Regency hospital? Unazifahamu gharama zao? Sasa bila MoU hospital za Makanisa ambazo hakuna ubishi zinahudumia wengi gharama zao zingefanana na Hindu na Regency. Unadhani Muislam maskini wa kule Kiboriloni angeweza kufanyiwa upasuaji KCMC?
kwanini usiite chanjo tuu.hata chanjo ni Virus, bacteria, protozoan,venom etc. pengine ndio kinachokuchanganya hapa.Aisee mod fanya utoe hii virus itatafuna nchi yetu..
Usidhani unaongea na watoto wadogo hivi kufanyiwa oparesheni KCMC ni bei rahisi. Hospital zipo nyingi tu bei nafuu siyo lazima niende Hindu.
Hao watumishi wa idara za serikali na mahakama anaowataja tayari walishakuwa viongozi waandamizi kwenye idara husika kabla ya rais Kikwete hajaingia madarakani.Kwa mtazamo wangu ni yeye huyo muhubiri ndio mdini na leo hii amemua kuonyesha ulimwengu kuwa nchi hii ni mfumo kristo kwa kutopenda kuona waislam kwenye nafasi za uongozi.
Kumbe ngoma droo! Na yule aliyeiba mbao na kokoto za watu je! Ni chama gani?
Na wapo wengi, kwa jinsi wanavyofanya kila kitu bila mipaka, ngono bila mipaka, wanawake bila bipaka kadiri hela kidogo zinavyoingia au kama wanawake wanajituma kimaisha, kula vyakula hatarishi kwa wingi hadi matumbo kuwa makubwa, mabusha, figo kw akuoza meno kunakosababishwa na ulaji wa mirungi, na maji ya zamzam yenye flouride,cynanide na sumu nyingine kupita kiwango cha WHO.Unaijua Hindu Mandal Hospital? Unaijua Regency hospital? Unazifahamu gharama zao? Sasa bila MoU hospital za Makanisa ambazo hakuna ubishi zinahudumia wengi gharama zao zingefanana na Hindu na Regency. Unadhani Muislam maskini wa kule Kiboriloni angeweza kufanyiwa upasuaji KCMC?
Nakushukuru sana Kamanda wangu SEBM.Usihofu mkuu kwani hata Mandela alifungwa kwa ajili ya kutetea wanyonge..Ha..Ha..Ha!
Tena zitapigiwa na riba ni pesa zetu sisi watanzania.
Msingi wa uteuzi wa viongozi si imani ya dini,anakotoka wala sura yake bali ni sifa na vigezo vya utumishi.Jifunze kutokuwa mpumbavu.sasa hata kama walikuwepo tangu kuumbwa kwa dunia hiyo inasababisha awe amesema uongo, kama walikuwepo na si kwa usawa kwanini JK asirekebishe.
jipange usikurupuke