jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,558
- 25,322
AshaDii kama vile umewah kusoma biblia.
ngoja nikupe mfano wa kisa cha kweli kwenye biblia, mfalme wa Israel Yehoshefati aliwah kupata waraka toka kwa wafalme ambao ni Moabu, wameuni na amoni walikuja kupigana na Yehoshefati. sasa walikuja wajumbe kumletea ujumbe kwamba wanakuja watu kupigana na wewe. yehoshefati alichofanya alisimama madhabahuni pa bwana na kumwadhimisha Mungu akamsihi Mungu awasikie mabaya yasiwapate na awaokoe na upanga wa adui. basi Mungu toka patakatfu pake alisikia akamwambia nendeni mbele yako msibebe silaha ila muimbe na kusifu mtauona waokovu wangu. basi waliiskia sauti ya Mungu waakenda mbele kwa kuimba na kusifu wale maadui wakapigana wao kwa wao hadi wakauana na kupotea hakuna mwisrael aliyeuwawa ama kauumizwa.
sasa kwa mantiki hii napata hisia kwamba sio kwamba waisam ndio maadui zetu bali kikundi cha wahuni fuan ambacho sasa wakristo walipaswa waende mbele za Mungu kwa sala na kusifu Mungu awaondoe wale adui zetu katikati yetu. ila haya wanayoyasema ni kuita uchochez utaona kesho utaskia waislam wakitoa tamko juu ya hili.
nenda soma 2nyak20:1-19. utaelewa ninachomaanisha
wawarudishie wakristo shule zao, hospitali zao kisha wavunje MoU, waone tiba za kuzibua mkojo zitakavyowatesa, waone kiwango cha ujinga miongoni mwao kitakavyotamalaki, serikali itekeleze mapendekezo iliyopewa, ni rahisi sana.
Last edited by a moderator: