Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,571
Nasikia makao makuu KKKT wamewataka kinondoni wairudishe hiyo sadaka
kwani sadaka huwa tunatoa kwa nani? mimi huwa natoa kwa Mungu, hivyo haiwezi kurudishwa mechanically.
Du siku hizi ukitaka kuombea kitu mpaka upewe ruhusa!
Kitu hiki nilikiandika mwaka 2008 na bado leo kimetokea tena kuna timu ya Maasskofu wakiongozwa na mtume Fernandiz wa ATN wanaelekea Dodoma kwa ajili ya kuliombea bunge .
Wwat is this ? nini kinaendelea ? mwaka ule walisema kuwa ni kutokana na unga unga uliokutwa kwenye viti vya baadhi ya wabunge leo miaka 3 baadae bado hoja ni hiyo ama ni ipi? Nakumbushia
ndo ujue mtoa habari hizi ni mwongo!kwani sadaka huwa tunatoa kwa nani? Mimi huwa natoa kwa mungu, hivyo haiwezi kurudishwa mechanically.
Jamani habari nyeti kama hii inataka reference na soucrce maana ukisema makanisa yanarudisha sadaka ni ipi hiyo? au ni zote alizotoa tokea awe mbunge? ameyasema mwenyewe au ni askofu gani ametamka hayo?Kuna habari kuwa maaskofu wa kinachoitwa makanisa yasiyofungamana na upande wowote wamemwandikia spika wa bunge barua wakiomba kupewa nafasi ya kwenda Dodoma kuliombea Bunge ili lisikumbwe na mauzauza ya unga unga tena.
Pili kanisa limeamua kumrudishia Rostam sadaka yake leo .....
Mwanzo wa drama ama mwisho wa picha?
more news to come later.
<br />Nasikia makao makuu KKKT wamewataka kinondoni wairudishe hiyo sadaka
<br />kwani sadaka huwa tunatoa kwa nani? mimi huwa natoa kwa Mungu, hivyo haiwezi kurudishwa mechanically.