Maaskofu ikemeeni serikali-Wasira

Hatutaki kusemewa na kanisa wala msikiti ,kwani wengi wao hawa wanakula sahani moja na vigogo wa serikalini,ni wanaofanya kazi nyuma ya pazia.
Tunachotaka ni vyama vya siasa tu, ndio viwe mstari wa mbele katika kuvaana na serikali ,hawa wadini wakae pembeni ,ni vyama kwa vyama mpaka kieleweke.
 
Kila kiongozi hususani wabunge watatofautiana sana maana wao bado wanajiandaa kugombea tena 2015. Tusishangae wengi wao watakavyoanza kumpinga mwenyekiti wao hadharani.
 
Niko hapa Kawekamo Mwanza kuhudhuria sherehe za kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa'Ichi.

Mwakilishi wa serikali amekuja Waziri Stephen Wasira.

Katika hotuba yake Wasira dakika tano zilizopita kawaambia maaskofu kwamba 'serikali ikielekea kuvunja amani ikemeeni bila woga'

Ni mambo ya siasa tu mbona kila wakikemea wanasiasa wanawapaka eti "waachane na siasa?
 
Mbona serikali ya jk ipo so disintegrated!! Viongozi waandamizi kama mawaziri wanatoa kauli zinazopingana!! Hii ni dalili tosha ya kuchokana na ubabaishaji ndani ya serikali. Wakati wa mkapa usingesikia kauli za mawaziri zikipingana kiasi hico.

.
Ufalme ukifitinika hauwezi kusimama. Na kama vile unavyoona baadhi ya mawaziri wakitofautiana ndani ya baraza lao ni kuashiria anguko. Ni dhahiri kwamba shetani hawezi kumtoa shetani mwenzake asijapojitenga kutoka katika hilo genge la.... Na kujisajili katika kundi la wapambanaji genuine dhidi ya ufisadi.
.
 
niko hapa kawekamo mwanza kuhudhuria sherehe za kumsimika askofu mkuu wa jimbo kuu katoliki la mwanza, mhashamu jude thaddaeus ruwa'ichi.

Mwakilishi wa serikali amekuja waziri stephen wasira.

Katika hotuba yake wasira dakika tano zilizopita kawaambia maaskofu kwamba 'serikali ikielekea kuvunja amani ikemeeni bila woga'

hii nchi banaaaaa,aaagh! Wakisema mnasema wavue majoho,wakinyamaza vibaya,sasa lipi jema?
 
Niko hapa Kawekamo Mwanza kuhudhuria sherehe za kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa'Ichi.

Mwakilishi wa serikali amekuja Waziri Stephen Wasira.

Katika hotuba yake Wasira dakika tano zilizopita kawaambia maaskofu kwamba 'serikali ikielekea kuvunja amani ikemeeni bila woga'

Ni ccm ipi iliyo sema maaskofu wakae mbali na siasa au zipo ccm nyingi?
Hawa watu naona wanatumia viongozi wa dini na kuwaacha kama condo*** baadae tu
 
very few ccms hufikiri kabla ya kuongea. the rest are fools like makamba and jk. they dont hv brain 2 think!
 
Ni mambo ya siasa tu mbona kila wakikemea wanasiasa wanawapaka eti "waachane na siasa?

umeona eh,wahuni kweli hawa!
Afu na viongozi wa dini sijui kama hawa wanao jitokeza mara kwa mara kama huwa wana muuliza Mungu waongee nini maana wanakubali tu kutumiwa na viongozi wa siasa na kutupwa kule
 
hii nchi banaaaaa,aaagh! Wakisema mnasema wavue majoho,wakinyamaza vibaya,sasa lipi jema?

Aliyesema wavue majoho ni wa dini gani na aliyesema waikosoe serikali ni wa dini gani? Na wote hao wanatumia platform zipi kutoa matamko yao?
 
mkuu . ...hawa wanaonyesha kuanza kuungama....unaonaje tuwasamehe saba mara sabini.... halafu tuwarudishe kundini..six.., Wasira.., na EL

shida si kumsamehe EL mzigo wetu atarudisha?akirudisha samehe na kusahau.
 
ninamfahamu mary chatanda mzaliwa wa mkoa wa mbeya aliyewawahi kuwa katibu wa vijana wa mkoa wa iringa na mumewe ni katibu msaidizi wa ccm mkoa wa iringa. Upeo wa mary wa kufikiri ni mdogo sana. Hii imetokana na makuzi yake na kukosa elimu angalau ile tunayolaumu ya shule za kata. Alichojaliwa ni ujanja wa kung'ang'ania watu. Kama mtakumbuka wakati jk anaingia ikulu mara ya i huyu alikuwa sehemu ya timu ya kampeni ya ist lady akitokea morogoro alikokuwa katibu. Baada ya uchaguzi alikuwa mshauri wa mama kabla ya kuteuliwa kuwa katibu wa mkoa wa arusha. Nasema upeo wake wa kufikiri ni mdogo kwasababu ana illussion kuwa anaweza kufanya lolote bila kuonywa kwa connection hiyo. Ataendelea kuivuruga arusha kama alivyoivuruga morogoro na iko siku atasababisha matatizo makubwa zaidi ya haya yaliyotokea juzi. Ameacha pia zogo tanga watu wanamwangalia tu na kwa woga wakampa ubunge hii ni hatari.

Shukurani kwa taarifa fupi lakini imetulia na nimeelewa picha kamili
 
Si Maaskofu tu waikemee Serikali bali hata Masheikh nao wana wajibu mkubwa wa kukemea maovu yote yanayofanywa na Serikali badala ya kuangalia pembeni.
 
Hatutaki kusemewa na kanisa wala msikiti ,kwani wengi wao hawa wanakula sahani moja na vigogo wa serikalini,ni wanaofanya kazi nyuma ya pazia.
Tunachotaka ni vyama vya siasa tu, ndio viwe mstari wa mbele katika kuvaana na serikali ,hawa wadini wakae pembeni ,ni vyama kwa vyama mpaka kieleweke.

duh ndugu mbona haueleweki?upo kama kinyonga
 
Niko hapa Kawekamo Mwanza kuhudhuria sherehe za kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa'Ichi.

Mwakilishi wa serikali amekuja Waziri Stephen Wasira.

Katika hotuba yake Wasira dakika tano zilizopita kawaambia maaskofu kwamba 'serikali ikielekea kuvunja amani ikemeeni bila woga'

Pengine ndio anawachochea ili tuzidi kugombana na CCM iendeleee kukaa madarakani mmefikiria hilo badala ya kumsifu Wassira?
 
Ni ccm ipi iliyo sema maaskofu wakae mbali na siasa au zipo ccm nyingi?
Hawa watu naona wanatumia viongozi wa dini na kuwaacha kama condo*** baadae tu
CCM hiyo hiyo ya kikwete! Ni jambo la kushangaza viongozi wa serikali kutoa kauli za kupingana kila wakati!
 
Back
Top Bottom