Paschal Matubi
JF-Expert Member
- Sep 15, 2008
- 235
- 304
Jee huyo askofu aliyesimikwa naye hakutoa yake, kuhusu maovu ya serikali?
Mh. Steven Wassira (Tyson) na Mh. Samuel 6 hongereni kwa kuanza kuzisoma alama za nyakati, vinginevyo nanyi mtaangukia PUA huko Majimboni kwenu. Yaonekana wengi wa viongozi ndani ya CCM wanaona ni kama vile wako pale kwa ridhaa yao wao wenyewe.
EL, naye kesha soma alama ila tatizo ni rekodi yake huko nyuma.
Mkuu,serikali imetuma ujumbe mwepesi mno kwenye shughuli hiyo ...tangu enzi za nyerere ,mwinyi hadi mkapa..shughuli ya kusimika maaskofu kiutamaduni wa ikulu wamekuwa wakituma rais mwenyewe .....huu ni muashirio mbaya kwenye mahusiano.......mara ya mwisho rais alienda bukoba kusimika askofu lutheran ..akachelewa kufika na kuhaaribu ratiba nzima na alipofika tu alihutubia na kuondoka bila kujali kushiriki chakula cha mchana alichoandaliwa na wenyeji wake!!
Niko hapa Kawekamo Mwanza kuhudhuria sherehe za kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa'Ichi.
Mwakilishi wa serikali amekuja Waziri Stephen Wasira.
Katika hotuba yake Wasira dakika tano zilizopita kawaambia maaskofu kwamba 'serikali ikielekea kuvunja amani ikemeeni bila woga'
Niko hapa Kawekamo Mwanza kuhudhuria sherehe za kumsimika Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Mwanza, mhashamu Jude Thaddaeus Ruwa'Ichi.
Mwakilishi wa serikali amekuja Waziri Stephen Wasira.
Katika hotuba yake Wasira dakika tano zilizopita kawaambia maaskofu kwamba 'serikali ikielekea kuvunja amani ikemeeni bila woga'
Jee huyo askofu aliyesimikwa naye hakutoa yake, kuhusu maovu ya serikali?
si kuna mwingine kasema wakitaka kuingia kwenye siasa wave majoho.....:a s-confused1: