MAASKALI WA USALAMA BARABARANI MMEZIDI RUSHWA.

mjitabulinga

Member
Sep 14, 2019
54
64
Jahuaika katika haya maswala ya lushwa ebu mliangalieni hili jamani,nimekuwa nikipita hii njia ya msasani kwenda masaki,pale mbele kotuo cha cocacola kuna maaskali wa usalama pale wanakula rushwa wazi wazi,unakuta wanasimamisha dala dala awakagui ila konda anashuka na kwenda kumpa ela afu analudi gari inaondoka,inaonekana ndio kamchezo kao maana kila siku asbuhi wapo pale,Ebu mjalibu kuchunguza hili.

RUSHWA NI ADUI WA HAKI.
 
Bora hata wewe umeongea , askari anasimamisha gari hakagui hata anachukua kasalio kwa konda hapo hana habari tena ya kuangalia gari anataget jingine. Sasa kwa mfumo huu rushwa za waziwazi au ndio wanakusanya za kung'alishia viatu? ????
 
jamani mtu ambae hawezi kujua sehemu ya herufi R na L wasipewe vitambulisho vya NIDA. maaskali au maaskari, rushwa au lushwa
mtu mwenye shida ya kuchanganya herufi mesej zake haznaga mzuka aisee,sawa tu na anayechanganya herufi kubwa na ndogo katika neno moja bila kujali position ambayo capital letter inapaswa kuwa,,,,,,,!!kibiolojia hili tatzo linaitwaje??
 
rushwa unatoa ili kukwepa ile 30,000/= . ukitaka raha usivunje sheria barabarani, polisi wa usalama barabarani kazeni buti kwa maana matunda ya kazi zenu yanaonekana.
mara ya mwisho kusikia zile ajali za kutisha za mabasi ilikua lini?? haya mafanikio hayaji yenyewe bali polisi wamefanya kazi nzuri.
 
Back
Top Bottom